Wabongo si wa mchezo mchezo



Bila kuathiri hoja yako, napendekeza na Basil Mramba afutiwe kesi.
 
Kinachonishangaza mimi ni kwamba kwanini hili linakuja baada ya kuanza vita dhidi ya madawa?
tega nikutege ye alijiona super star sasa zamu yake kuchukua fursa za media.Hili suala halihusiani na unga hata kidogo limekuja kufananishwa pale alipoanza kudeal na wauza unga kwa kiki zake ndo mana watu walitaka kujua kiwango chake cha ufahamu ni cha kiasi gani mpk anapambana na adui namna ile so ndo yakamkumba ya kumkumba lakini bado ana nafasi tu ya kuprove wrong watu
 
Kama kiongozi huwezi fatiliza kila lisemwalo kwako kuna watu na chuki zao kibao tu kwa kuzidiwa maendeleo n.k
Pia huyu ni mteuliwa wa Raisi ustake kusema Raisi alimchagua bila kujua CV yake.
Na ndomana naamini mhe.Rais hawezi kuwafatiliza wapiga filimbi haitaingia akilini kama atareact leo hii wakati yeye ndie aliemteua
 
Mnooko halafu hujitambui kbs.
 
hahahahah sasa wait ans seen kwamba binadamu wote ni wadhaifu haijalishi ni nani .Yeye ni kama mtu yeyote anayeweza kutapeliwa asipokua makini pia maana wote ni wanadamu na si Mungu.So sitashangaa yeye kua kateua mtu asiyemjua bali i belive kama itakua ivo huo utakua uzembe kama uzembe mwingine so tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…