saede mbondela
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 368
- 237
Hayo mawazo yako tu.Nahisi na wewe ni "mmoja wao"
Wewe usituletee staili za maisha ya shule kwenye issue za kitaifa.Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume.
Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu
Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.
Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha.
Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.
Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi.
Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.
Wabongo ni vipi nyie
Tazama utoboaji wao ulivyoweza kuathiri vijanaWewe usituletee staili za maisha ya shule kwenye issue za kitaifa.
Sikia bro, basi kama hivyo ndivyo, yeye ndio alie anza kwa sababu wenzie washatoboa then kaenda kuwaletea noma ... kwa hiyonye angeanza kivingine au? Ila taifa haliendeshwi hivyo Baba
Tulete vyetu vetu hapaWew pia utakuwa bongolala bongolala!
Kwanin halikuja alipochaguliwa kuwa DCHatuwezi kuongozwa na mjinga
Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume.
Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu
Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.
Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha.
Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.
Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi.
Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.
Wabongo ni vipi nyie
Zisiwe chuki binafsi tu.Kilichomponza Bashite alijaa kiburi na dharau sana,akaona ameshamaliza yote na yeye ndiye Rais kama sio makamu.
Nafurahia sana yanayoendelea dhidi yake.
Limevaliwa njuga kwa sababu mamlaka znajifanya hazioniiiii????Hii tabia ya wabongo sidhani kama ni kiume.
Kwa tuliopitia shule kuna baadhi ya wakati mnajikuta mmefanya kosa flani hivi kisha mkatakiwa kupata adhabu
Mmoja kati yenu kwa ujanja au bahati yake akanusurika na adhabu pamoja na kua alikua mmoja wa waliofanya kosa.
Katika vitu ambavyo hua havifanyiki katika kundi hili la wanafunzi ni kumtaja yule mwenzenu alienusurika na adhabu kwasababu leo yeye huenda kesho ukawa wewe ndie ulienusurika na hayo ndo maisha.
Jambo linalonishangaza kwa wabongo sisi ambao kipindi kile tuliona haina noma mmoja wetu kunusurika leo kulivalia njuga swala RC.
Watu wengi bongo huishi kuijanja ujanja lakini akitokea mtu kamzidi ujanja maneno meeengi.
Mtu kashatoboa then leo ndo unaleta ishu ya vyeti mbona hii istaajabisha.
Wabongo ni vipi nyie
Nakubali juhudi za mhe.Rais kupambana na wajanja wajanja.Maisha ya kijanjajanja ndo mh rais hayataki, ndo maana alipoingia madarakani alihakikisha anaanza kudeal na watu wenye vyeti fake na kuwatimua. Ifike mahali kila mtu aseme no, there's no way kutetea makosa kisa tu huyu ni mwenzetu mwisho wa siku akiharibu mnaanza kulaumu hovyo
jibu mwenyewe hilo swali kabla hujajibiwaHivi ujinga unapimwa kwa jambo gani?
Hivi kila ambae hana vyet vya necta ni mjinga?