Wabongo na Halloween


mzee chrismas na pasaka havina tofauti na halloween ! ni uongo mtupu ! mbona kwenye Biblia imeandikwa Yesu alisheherekea iku ya kutia mikate chachu (pasaka) wakati hajasulubiwa ?! Mti wa chrismas una uhusiano gani na kuzaliwa Yesu ?
 

...........ukafiri hajifichi !
 
Haloween imekuwepo kabla hata Amerigo Vespucci hajavumbua america
 
Changamkieni biashara hapo......duka la costumes na masks linahusika!
 
. Umesoma wapi ?na unakaa wapi ?1979 forodhani nursery school tulikuwa tuna celebrate Halloween .
Kumbe Natalia ni schoolmate wangu? Mbona sikumbuki kucelebrate Halloween au maybe kumbukumbu zangu sio nzuri? Ulisoma kwenye kimviringo pale kati or kule juu kwa masista? Pia kumbuka Forodhani nursery iliendeshwa na wasista wa kizungu labda ndo sababu wenzetu mliweza kuijua Haloween mapema
 
Hee mviringo na kigauni cha blue.
 


Kweli we ni Kiranga cha kujitakia.
 

Samahani,hapo juu hiyo para ya mwisho ni kiinglishi kweli?Kama ndiyo,Mungu akubariki kwa kukusudia kuitesa akili yangu kuifanya isome mineno migumu na kulazimisha kuielewa bila mafanikio. Ahsante
 
Hahahhaa........unamfahamu mkuu wangu mmoja anaitwa Mihayo?
I will PM you......damn...!!!
 
Halloween waachieni kina sinta,muke ya muzungu na kenzo wake!
 


Baeleze bwana na maisha yao ya kuigiza, bongo is very funny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…