Wabongo na Halloween

Askari wa miguu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
344
Reaction score
124
Leo ukiingia social media karibu zoote utaona mara ooh Halloween hiv Halloween vile cjui nini nini, co mbaya lakini Vijana wa cku hzi kuiga sana na being Fake mezidi au ndio tujue DSTv yenu ina Disney Channel huangaliagi Channel 10, Halloween huko bwana mtoni bongo ni cku tu kama cku zingine wewe mwenzangu na mimi kwe2 Kipawa inakuhusuje?
 
Na kweli, utafikir hao mnaowaiga huwa wanasheherekea sikukuu zenu kama za kutoa wali na kadhalika. Wabongo kwa kuiga nooooumer.
 
November 22nd, 2012 nasikia watasherekea Thanksgiving pia hapo mjini
 
...haloween ndo nini? Me mshamba mwenzenu...
 
Halloween na Krismasi havichekani.

Ukishambulia Halloween nategemea ushambulie na Krismasi pia, kwani vyote tumeiga

La kama huwezi kushambulia Krismasi, halloween ni sikukuu nyingine tu kama Krismasi.

Tena ina afadhali maana haijidai kuwa ni siku ya kuzaliwa mwana wa mungu. Ingawa zote ni ubahau tu.
 
...haloween ndo nini? Me mshamba mwenzenu...

Sherehe ya miungu yao ya kishetani huko ulaya ndio maana kila mtu anajitahidi kutengeneza na kuvaa kinyago chenye sura mbaya kuliko mwingine,lakini watanzania wanaiga kila kitu bila kujua ina maana gani.
 
kama huna cha ku-post hapa, soma coments za wenzako, tembea kuliko kuandika upuuzi kama huu uliopost
 
kama huna cha ku-post hapa, soma coments za wenzako, tembea kuliko kuandika upuuzi kama huu uliopost

Obviously nina cha kupost, ambacho umeshindwa kukikanusha.Usilinganishe tonga na tuwi.I will 3-Deconstruct your illogic.

Na bado, mtaona mpaka "Civil War appreciation parade" kwa mwendo huu.

Kwa hisani ya watu wa Marekani!
 
I had Halloween party on saturday ,50 adults and kids we had a lot of fun.tulivaa consumes .Ni nzuri kwa watoto nilivaa my cat woman costume
 
Haya yote kwangu ni extravagance tu, krismas, iddi, pasaka, halloween, harusi za kifahari nk
 
I had Halloween party on saturday ,50 adults and kids we had a lot of fun.tulivaa consumes .Ni nzuri kwa watoto nilivaa my cat woman costume
kama uko nje ya tanzania sawa

ila kama uko tanzania, basi kituko

vipi ukiwa namanyele unaweza kusherehekea hayo?
 
. Umesoma wapi ?na unakaa wapi ?1979 forodhani nursery school tulikuwa tuna celebrate Halloween .
 
Watu wenyewe hata hawaelewi maana ya halloween na kwanini wenzao wanasherehekea ikitokana na nini.wao ni kuiga tu yan kazi kukopi na kupaste tu.aibu mwaboaaaaa.
 
Oyoooo Natalia mbona ulipotea au mambo ya kimbunga sandy? Uko sawa lakn, hubby na wakid wako sawa?
I had Halloween party on saturday ,50 adults and kids we had a lot of fun.tulivaa consumes .Ni nzuri kwa watoto nilivaa my cat woman costume
 
Last edited by a moderator:
I had Halloween party on saturday ,50 adults and kids we had a lot of fun.tulivaa consumes .Ni nzuri kwa watoto nilivaa my cat woman costume

kama kawa kama dawa,my nata,wewe ni noma,muke ya muzungu tajiri,mama ya watoto mulato.voter ya romney,mmmmh mlikula na nini!
alafu naomba unielekeze msasani peninsula,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…