Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
- Thread starter
-
- #21
Hoja yako inahusiana nini na kile nilichopost?Siyo kila mzungu ni mwingereza! Panua maarifa!
Na kwa hali ilivyo sasa hivi ukichanganya hivyo viwili kimoja lazima kifutiwe usajili!!!Ha ha ha ha!
Dini na Lugha siyo kitu kimoja, yakichanganywa haya mawili ujue kuna shida ktk mfumo!
we Muha sijakuelewa!Na kwa hali ilivyo sasa hivi ukichanganya hivyo viwili kimoja lazima kifutiwe usajili!!!
Sasa situmeshaambiwa tusichanganye dini na.......!Au unataka tufutiwe usajili?we Muha sijakuelewa!
au ulatay'Urutemo?
Mulibhaza, je sindimwo!Sasa situmeshaambiwa tusichanganye dini na.......!Au unataka tufutiwe usajili?