Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
sawa eve chumvi nimekusomaSawa, sio tukosowane ni tukosoane
usiku mwema.
Ha ha ha ha!kuna wengine uzungu ni dini yao sa unavyowaambia waache inabidi uwaambie wahamie dini gani
Hakuna cha stres wala starehe, kupenda vya wageni kuliko vyenu ni tabia mbaya!Uzungu ni nini mkuu, mbona km umebanwa na stress tu!
Halahala niisikie japo sauti yako kabla hatujaumaliza mwaka huu, puliiiz.Nipo, sijambo kabisa
Mtu asiyetamani kujifunza lugha za walimwengu wenzake anakosa ujuzi na maarifa (ujanja) wa wengine duniani. Mtu huyo akifika kiwango cha KUJIVUNA kwa kutojua lugha zaidi ya alipozaliwa huyo si mjanja; ni MJINGA.Hapa jamvini kama kulivyo kwingine kokote watu walipo wengi hakukosi maneno yasiyo sanifu;
kuna makosa ya Typinng error, Lugha na hata makosa ya makusudi katika uandishi kama mtindo,
pia huwa kuna kukosoana ktk yote hayo;
lakini tunachokomalia zaidi ni makosa ktk matumizi ya kiingereza; je hii ni sahihi na si kujivika uzungu?
tukosowane kwa staha, wala usijione bora kwa kujua kizungu maana na mimi najua kichina, au kisukuma hata kigogo ila we hukijui!
Sipendi vitabia uchwara hivyo!!
Unaweza hata kugundua mi babako, ID fake hapa!Jitambue kwanza dogo
?Njaa Kali
Elewa mantiki ya hoja ili uoneshe welevu wako!Mtu asiyetamani kujifunza lugha za walimwengu wenzake anakosa ujuzi na maarifa (ujanja) wa wengine duniani. Mtu huyo akifika kiwango cha KUJIVUNA kwa kutojua lugha zaidi ya alipozaliwa huyo si mjanja; ni MJINGA.
Hapa jamvini kama kulivyo kwingine kokote watu walipo wengi hakukosi maneno yasiyo sanifu;
kuna makosa ya Typinng error, Lugha na hata makosa ya makusudi katika uandishi kama mtindo,
pia huwa kuna kukosoana ktk yote hayo;
lakini tunachokomalia zaidi ni makosa ktk matumizi ya kiingereza; je hii ni sahihi na si kujivika uzungu?
tukosowane kwa staha, wala usijione bora kwa kujua kizungu maana na mimi najua kichina, au kisukuma hata kigogo ila we hukijui!
Sipendi vitabia uchwara hivyo!!
Pia kuna wazungu hawajui kiingereza. Hata Kiswahili kwa sasa hakina hadhi tena. Watu wanaandika maneno ya kiswahili utafikiri siyo wazungumzaji wa Kiswahili. Harafu, apana, ela, sa, xaxa, na mengine.Siyo kila mzungu ni mwingereza! Panua maarifa!
poa poa ntakupigia ntakupigia namba yako ninayo...Halahala niisikie japo sauti yako kabla hatujaumaliza mwaka huu, puliiiz.
Nimeona 'umeni-dip',poa poa ntakupigia ntakupigia namba yako ninayo...