Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
ya kwanza siwezi sema sana, but ya pili pamoja na m=kwamba inawza kumpata mtu yoyote, lakini kuna risk factors zake!!! its always irrational use ya hayo mavyuma au imbalanced load kwa mwili
Kwa hiyo Baunsa siyo Lazima ajazie au
1.straining to be subjected to great stress or pressure[YourDictionary.com]pregnancy and stresses of childbirth long term constipation, long term straining during defecation
Baunsa ndio nini?
Halafu hakuna hasira wala nini. Tatizo watu ni wagumu kuelewa utadhani hawana ubongo. Uzushi wanauchukulia kuwa kitu cha kweli. Umeshawahi kujiuliza moja ya sababu ya sisi kuwa nyuma kimaendeleo ni nini? Well, look no further................
Kwanza, neno baunsa amablo linatokana na neno "bouncer" umelitumia visivyo. Ingia kwenye kamusi usome maana yake.
Pili, hayo unayosema wewe, hasa kwa Tanzania yatakuwa maumbile zaidi kuliko transformation iliyosababishwa na kunyanyua vitu vizito kwenye sehemu ya juu ya mwili (upper body). Kwenye genetic body types kuna endomorph, mesomorph, na ectomorph (kama sijakosea). Naweza kwenda kwa undani zaidi kuhusu hili kama utapenda lakini ninachotaka kusema ni mwamba kuna watu walio top heavy na nadhani hawa ndio hasa wewe unawaongelea.
Na hakuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na kunyanyua vitu vizito. Hiyo ni dhana potofu tu. Nitarudi baadae kwa undani zaidi.
NB: Mimi ni certified personal trainer na ninayajua haya mambo nje ndani. Kuna a lot myths out there.
1.straining to be subjected to great stress or pressure[YourDictionary.com]
2.Thesaurus Dictionary online
Noun1.strain - (physics) deformation of a physical body under the action of applied forces natural philosophy, physics - the science of matter and energy and their interactions; "his favorite subject was physics"
deformation - alteration in the shape or dimensions of an object as a result of the application of stress to it
kwa KISWAHILI .straining ni kujikema au?
wikipedia is not a scholary Reference
pregnancy and stresses of childbirth long term constipation, long term straining during defecation
NYANI VIPI MBONA KIMYA? HIVYO VITAKATAKA VYANGU HUJAVIJIBU,.NIMEKWAMBiA WIKI PEDIA is NOT a SCHOLARY reference.,..Sasa mbona kimya ?
Nimekuwekea uliyoyakopi na Kupaste machache kutoka huko ulikoyatoa mbona hujayazungukia?naomba mechanism ya ULIYOYAPASTE
Picha nimekuwekea na simple non scholary definitions mboma kimya?
RUDI JUU ULILIELEWA SWALI KWELI? AU ni mambo ya bisha USOMEKE?
NDIO MAANA HATUENDELEI ?SABABU HATUNA TAFITI//,MBONA MAJIBU YOTE YAPO NDANI HUMU AU TAFITI GANI NYINGINE MZEE ?HATUNA FUND ZA KUNUNUA PRADO KWA WAHUSIKA.YAANI UNAIKATAA HATA HERNIA KUHUSIKA NA NONDO ?loh ?
Sasa funga kamusi yako ya lugha mbovu halafu angalia walivyongea wenzako ili upewe shule simple.
KUMBUKA BACKGROUND YA SWALI,ilikuwa nini halafu angalia nilijibu nini? wewe ni old member wa J.F
reference NITAANZIA KWA WENZAKO WA UKO HIKO WANAOFUNDISHWA NA WALIMU KAMA WEWE,,,nikisoma majibu yako sidhani kama ulilielewa swali vizuri
MODS naomba msifute majibu.,
Mkuu naonba nishushie elimu ya kujenga miguu hasa sehemu za vigimbi(chini ya goti) na kukata kitambi...!!!(Sit-ups hazijanisidia so far)
thanks...!!
Hata sikuelewi. Licha ya hivyo, ingawa wikipedia sio scholarly, nakupa changamoto unitafutie unitafutie makala iliyo scholarly inayokingana na kilichosemwa kwenye wikipedia.
Halafu nakuomba unipe madhara na faida za kunyanyua vitu vizito kwa kufanya mazoezi ya mwili. Usitunge tu mambo kichwani mwako. Weka vyanzo vyenye heshima.
Kuhusu kuondoa kitambi, kwanza kabisa badilisha lifestyle yako. Kama unapenda kunywa pombe na nyama, badilika. Pili hakikisha caloric output inaizidi caloric input. Pia punguza kula vyakula vyenye wanga na sukari kwa wingi. Tatu piga tizi linaloimarisha misuli ya tumbo. Kwa mfano sit ups, crunches, n.k.
hawana lolote hao. mwili mkubwaa akili kidogo, na wakifika miaka kama hamsini hivi ndo wanaanza ugonjwa wa kutetemeka kama mohamed ali, misuli yao inakuwa imelazimishwa kupanuka artificially. kwa kung fu zangu, sihesabugi kama kuna kitu hapo pamoja na kwamba huwa sipigani, ila akinikuta usiku labda anataka kunipora kitu, ataendak usimulia nda rafiki zake wote...
VYANZO VYENYE HESHIMA VIPO VINGI,LAKINI UNGANISHA BACKGROUND YA SWALI KAMA LILIVYOULIZWA ., ANGALIA ULIVYONIJIBU mimi,Kabla ya kuanza elimu yako ya nondo .NIMEKUWEKEA DEFINITION SIMPLE PAMOJA NA PICHA.NIMEOMBA MECHANISM YA MAGONJWA ULIYOYATAJA ,.ambayo umeyatoa KWENYE NON SCHOLARY WEBSITE YA FREEWIKIPEDIA.website ambayo inakaribisha kila mtu kuiedit,Inazungumzia jambo halafu chini inalikimbia,.kwa kutumia vimisemo au hujui maana ya hivyo vijimisemo ni nini?
BASI ni UWOGA WA KUDECLARE comflict of INTEREST ndio maana inaitwa non scholary.
SWALI HUJIBU SWALI BWANA, JIBU NILIYOKUULIZA KWANZA, ILI TUELEWANE WEWE NI MWALIMU ,picha ,definitions na mechanisms ya magonjwa uliyoyataja.NA NI VIPI UNATUTAJIA MISULI UNAYOIJUA BILA KUITAJA DIAFRAGM NA MCHANGO WAKE ?
NITAJUA WAPI PA KUANZIA KUDEAL NA WEWE.,.NAPENDA NA KUHESHIMU SANA WALIMU.,WAO WANAJUA MENGI,.sababu kubwa ya ujuzi na uelewa wao ,ni usikivu na umakini ,pia hujifunza kutoka kwa wenzao na kuhoji ili baadaye waweze kujibu maswali.,Na hawakejeli swali au maelezo ya swali NDIO MAANA HUTOA MARKS ambazo hujadiliwa
NAKUSUBIRI MWALIMU NGABU
Mkubwa hapo watu pia hukosea sana mimi ningeshauri mtu akimbie kwenye uwanja au vimilima kwa mfano dar pale UDSM kuna mazingira mazuri na moshi wa magari ni kidogo. Hii inasaidia kukata mafuta kwanza then ndio mtu afanye mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo. Ikumbukwe kwamba ukianza kukaza tumbo linaweza kubakia hapo hapo/likageuka msuli na kila siku unalalamika kitambi hakiishi.
Nguli bana, nimecheka sana maana kuna siku nilikuwa naangalia kipindi cha Uswazi EATV jamaa Musa akawa ametembele Gym moja ilikuwa kichekeshowana train eneo moja tu la kifua madhara yake ni kwamba mtu anakuwa na umbile kama la gitaa
ni kweli hata kuna mnyanyua vitu vizito amewahi kutokwa na nyama akijikamua kubeba uzani mzito kupita kiasiMkuu Ngabu kuna Dakatari aliniambia kwamba kwa Wanyanyua Vitu vizito wana hatari ya Kutokwa na Nyama ya Anus ( Mku**) kwa maana wanaponyanyua vyuma vizito hewa inatokea makalioni na kusababisha Nyama ( Nadhani sijui Utumbo mkubwa) kutokea kunako tigo. Hii Dhana wewe unaionaje maana nilianza mazoezi ya Kunyanyua Vitu vizito Daktari akanipa hilo angalizo nikaamua kuacha
ni kweli hata kuna mnyanyua vitu vizito amewahi kutokwa na nyama akijikamua kubeba uzani mzito kupita kiasi
na ushahi miaka ya 2003 ilikwepo katika www.rotten.com sasa sina uhakika kama bado taarifa zake zi[po hata sasa