Mechi ya Esperance na TP Mazembe bado sana haijakwisha Kwa mpira uliochezwa jana. Lakini pia Esperance ni wazuri na naamini watampiga Mazembe kule Tunis. Naungana na wewe kwa mechi zilizobaki.Kuna wakati tusiwe tunadanganyana ilihali hali halisi tunaiona na kuihisi
Here we go.......
Kwa maneno tutawin ila kwa vitendo tutafail sana
SASA IPO HIVI.....
1.Kitendo cha Tp mazembe kushinda 1 bila hii inathibitisha mazembe wanatoboa hatua hii kwa uhakika kabsa
2.Al ahly wameweza kutoka safe ya 2-2 na simba kwenye simba la mkapa ambapo wanasimba wote wanasema kwa mkapa hatoki mtu ilihali al ahly ametoa sare na ni ngumu sana kutoboa Kule cairo
3. Mamelody hawa licha ya tambo nyingi za petro de Luanda kuliko za simba dhidi ya al ahly, mamelody wamemchapa mtu 2 kwa nunge na ni ngumu sana kutusua kwa petrol de Luanda
Najua wengi mtabisha kwa usemi mpira unadunda Mara oooh mpira dk tisini ila ukweli usemwe kamwe haiwezekani kufungwa al ahly,mamelody na tp mazembe.
Kama unamoni au pinga beti kwa hoja
Nipo pamoja na wewe goal la mazembe halitoshi kuwatowa esperance, mechi inayofuata mazembe atashikilka bomba mwanzo mwishoMechi ya Esperance na TP Mazembe bado sana haijakwisha Kwa mpira uliochezwa jana. Lakini pia Esperance ni wazuri na naamini watampiga Mazembe kule Tunis. Naungana na wewe kwa mechi zilizobaki.
Mazembe anajua anacho kifanya atawshangazaMazembe safari yake imeishia hapo... Aombe saana mungu awe upande wake tu.
Kwa mpira gani ule waliocheza pale Kwa Mkapa? Mkuu hivi mechi uliiangalia au ulisimuliwa?Ukweli ni ngumu kwa mazembe kutolewa mkuu
Al ahly, wydad na sundowms uhakika ila tp mazembe bado ana kazi kubwa sana ya kufanya iyo game 50/50.Kuna wakati tusiwe tunadanganyana ilihali hali halisi tunaiona na kuihisi
Here we go.......
Kwa maneno tutawin ila kwa vitendo tutafail sana
SASA IPO HIVI.....
1.Kitendo cha Tp mazembe kushinda 1 bila hii inathibitisha mazembe wanatoboa hatua hii kwa uhakika kabsa
2.Al ahly wameweza kutoka safe ya 2-2 na simba kwenye simba la mkapa ambapo wanasimba wote wanasema kwa mkapa hatoki mtu ilihali al ahly ametoa sare na ni ngumu sana kutoboa Kule cairo
3. Mamelody hawa licha ya tambo nyingi za petro de Luanda kuliko za simba dhidi ya al ahly, mamelody wamemchapa mtu 2 kwa nunge na ni ngumu sana kutusua kwa petrol de Luanda
Najua wengi mtabisha kwa usemi mpira unadunda Mara oooh mpira dk tisini ila ukweli usemwe kamwe haiwezekani kufungwa al ahly,mamelody na tp mazembe.
Kama unamoni au pinga beti kwa hoja
Ikawaje tena??Leo Kivumbi na Jasho.......
Yanga anagongwa na Azam...
We Uto wenzio Wanakuita Huko ligi ya NBC....
Achana na AFL,haikuhusu....
Labda kutoboa sikioTatizo watu hawajaangalia Game alafu wanasema Tp mazembe hatoboi, kiufupi Kaangalien Marudio muone jinsi Mazembe Walivyobadilika na walivyo na Balaa,
Naiona Draw kule Tunisia na Tp mazembe anapita
Kwa wale tulioangalia game ya hapa dar tulijua mazembe hawezi kishikilia bomba dakika 90 , mechi ya dar walishinda kibahati tuu lakini sio mpiraNipo pamoja na wewe goal la mazembe halitoshi kuwatowa esperance, mechi inayofuata mazembe atashikilka bomba mwanzo mwisho