juma mndeme
New Member
- Nov 20, 2014
- 4
- 0
wanachukuaga mademu wazuri kwenye interview hao.....
hiyo shule yenu kimeo kila siku mnatangaza ajira ,HR dept very poor
hawa jamaa kila mwaka wabaita kwa masomo hayo hayo tu? vipi kulikoni?
alafu wanaita watu wengi mkifika ni usaili wa ana kwa ana alafu mnamaliza mnaondoka , jamani watu hawana pesa kumbukeni wengine wazazi wanajichanga ndo wanapata nauli. mfumo wenu mbovu badilikeni.