Waafrika tuna mapungufu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,004
Reaction score
104,455
Najaribu kuwaza hivi from a scientific point of view:
Waafrika tumekaa na Matende na mabusha kwa kanda ya pwani; waafrika tukemaa na thyroid Goiter kwa kanda ya ziwa kwa miaka karne na karne.
Tukavihusisha na uchawi, ulozi , mizimu etc. hatukufikiria kuwa sayansi inatawala matukio haya. Tukaenda mbali na kuyafanya mabusha kama sifa/umwinyi kuwa nayo.
Akaja mzungu, akasema hapana kuna sababu ya kisayansi. Akafnya utafiti, akaona chanzo akatafuta dawa.


tatizo ni kuwa bado mpaka leo tunaamini uchawi! Hatujifunzi kuwa tuliyokuwa tunayahusisha na uchawi haikuwa hivyo.
 

Attachments

  • upload_2017-9-3_7-24-57.jpeg
    3 KB · Views: 29
Tunajifunza Mkuu, labda wewe ndio hufuatulii.
Kama ni mtu wa kwenda kwa waganga au mambo ya Jadi hutafahamu. Huku hakuna sana elimu ya kitafiti. Sanasana huegemea mila na desturi na miiko ya kikabila.

Ila kama unafuatulia Sayansi, zipo taasisi mbalimbali kam KCMC, Muhimbili.
Waafrika hujifunza huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu waafrika tuna uchafu wote ndiyo maana tunaitwa dunia ya tatu lakini kiukweli inatakiwa tuitwe dunia ya mwisho
 
Truths, nimefanya utafiti (molecular characterization of lymphatic worms) katika magonjwa hayo ndiyo nikawa nawaza hivyo. Kwa nini hatukujiwa (babu zetu nyuma huko) na mawazo ya sayansi mpaka tukahusisha uchawi, mila kama ulivyosema? Tuna mapungufu ya thinking capacity/akili ya utambuzi nadhani. anyway, tunapiga hatua sana
 
Wagonjwa wamejazana Regency Hospital wanashinda kutwa kusubiri dactari toka Muhimbili kwanini wasiende huko Muhimbili moja kwa moja kama siyo tuna imani potofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…