Ni issue kubwa sana lakini inachangiwa na vitu viwili kwanza umekosekana ubunifu wa ma-chef wetu kuja na mapishi mapya ya asili kuongeza varities and option (ingawa sioni ubaya kula vyakula vya kigeni kama hakuna athari za kiafya). Tatizo wao vyao wanaweka ma chemical mengi na substitute nyingi kwenye kuchanganya sanasana kwenye hayo masosage na wenzetu the cheaper the product the lower the quality, lakini vipo hivyo hivyo vilivyo na viwango na organic bei sasa ndio kasheshe.
Pili ruhusa ya vipindi vya kigeni iliyopitiliza, tumekazana sana na kuachia kuwa influenced na other global cultures hivi tunadhani hizi tamthilia za nchi za magharibi tunazoangalia zaidi ya za kwetu zinatuaffect vipi sisi? Ukienda nchi kama ufaransa radio tu airuhusiwi kupiga zaidi ya % fulani ya miziki yenye lugha za kigeni, ukienda uingereza ukiongea tu na accent za region zingine wanakushangaa.
Ndio maana utakuta ata watu especially public figures ambao ni private schooled ingawa huko walikopitia wanabanwa sana na kutumia formal english bado wanaongea na lafudhi za kwao, sisi ukiwasikia vijana wetu unakuta mtu anaongea with american accent kwa mzungu anaweza kushangaa why dont you just pronounce it right with standard english (lafudhi inayotumiwa na watangazaji wa kimataifa), lakini unakuta mtu anaona aitoshi lazima aiwekee na accent za kigeni unaona ulimbukeni unapoanzia na influence za media.
As days go we dilute our culture, attitudes and identity, inabidi kuwe na ubunifu maana ya hizi alternatives zinatokana na uwepo mchache wa sanaa za kutosha kila sinema ni mapenzi tu au kulogana na mengineo yenye kuaddress ill behaviours in negative perspective to me that is just encouragement quite the opposite of shaping the right thinking (unajiuliza hivi akuna other social issues to be addressed),watu awawezi imba kuhusu mambo mengine zaidi ya mimi kuonewa wivu au kuimba mapenzi, halafu tunashangaa uzinzi uliokithiri. Media ni weapon kubwa sana hila kwa sasa inasaidia western societies to spread their cultures na kuifanya kazi yao rahisi sana kwenye ku-negotiate na sisi in their perspectives.