damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
Kwani we mkuu unauza midoli ya kiswahili afu hainunuliki?
Mi nahisi anauza vinyago vya kuchonga!
Hiyo midoli ya kizaramo inapatikana wapi ? wanangu wanaitafuta sana
Kwani we mkuu unauza midoli ya kiswahili afu hainunuliki?
Ndio sababu nina love hate relationship na fiesta. Negatively naona kama zimekuwa nyingi sana, positively inatoa mwako wa utaifa kwa vijana wa kesho only lacking propaganda messages in between and finally the dilemma unaweza vipi washauri wasanii wawili watatu maarufu waimbe nyimbo za kulisifia taifa lao.
Oh yeah na bwana Kusaga aje na mbinu za kumprote utamaduni mkubwa wa kitanzania in the midst of fiesta pengine Tshirts zenye vivutio, bendera na mengineo na kutafuta sponsor ambao ni wazalishaji wakitanzania zaidi ya kampuni la bia. Fiesta is a blessing in the disguise ingawa nina wasiwasi na message nyingi za sasa naona kama vile zina promote western thinking largely in terms of cultural za nyimbo, mavazi ya wasanii its time sasa wahusika wajaribu kuiweka unique to fit our audience whilst promoting what's our positively.
tena ile midoli ya teddy bearinauzwa mpaka basi
Mtoa mshamba mwenyewe,mi mjanja!
Hahahahahha...umecheza na mbavuzangu
Ndio sababu nina love hate relationship na fiesta. Negatively naona kama zimekuwa nyingi sana, positively inatoa mwako wa utaifa kwa vijana wa kesho only lacking propaganda messages in between and finally the dilemma unaweza vipi washauri wasanii wawili watatu maarufu waimbe nyimbo za kulisifia taifa lao.
Oh yeah na bwana Kusaga aje na mbinu za kumprote utamaduni mkubwa wa kitanzania in the midst of fiesta pengine Tshirts zenye vivutio, bendera na mengineo na kutafuta sponsor ambao ni wazalishaji wakitanzania zaidi ya kampuni la bia. Fiesta is a blessing in the disguise ingawa nina wasiwasi na message nyingi za sasa naona kama vile zina promote western thinking largely in terms of cultural za nyimbo, mavazi ya wasanii its time sasa wahusika wajaribu kuiweka unique to fit our audience whilst promoting what's our positively.
Kwani we mkuu unauza midoli ya kiswahili afu hainunuliki?
Uzungu huu ndio unao zidi kuaribu vijana wa taifa letu. Zamani kitendo cha mwanaume kusuka na kuvaa hereni ilikuwa ni aibu. Lakini cheki vijana wa leo wanavyokuwa. Ukija kwenye vyakula ndio usiseme, tumeacha vyakula vyetu vya asili ambavyo vilikua vinatukinga na maradhi, badala yake tunakunywa misoda, masoseji chipsi mayai na mengineyo. Matokeo yake ndio hayo makansa, presha na sukari kila kona. Wenzetu ni wajanja sana, wanakula hivyo sawa, ila kila baada ya mlo unakuta wanameza dawa za kuwapa virutubisho. Sie wapi?