abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
Pia wewe inatakiwa ubadilike hiyo xana ndo nini kweli nyani hajioni.........asante kwa kunikaribisha
ndo nimefikafika
naipenda xanaaaaaaaa
pia wewe inatakiwa ubadilike hiyo xana ndo nini kweli nyani hajioni.........
Pole yako, au unamwonea donge kwa kufika dari salama?
Hata neno ukarabati halikuwepo kwenye kamusi lakini baadaye likaingizwa. Walikuwepo wabishi kama wewe wanaodhani lugja haikuiHivi Xaaana ndio nini? Mbona mnatuletea mambo ya kijinga wazee wenu? Hebu kueni na adabu ala! Mtarudi kulee 0713!
Lugja ndo nini tena?Hata neno ukarabati halikuwepo kwenye kamusi lakini baadaye likaingizwa. Walikuwepo wabishi kama wewe wanaodhani lugja haikui
Nimekosea mkubwa, nililitaka kuandika LUGHA.Lugja ndo nini tena?
kuna jamaa yangu nipo nae hapa
ananiboa kinouma
yeye aliendaga Dar
sasa kila sehemu akiiona kwenye
tv
utaskia
coco beach iyo
mala karia koo iyo
mala akiyaona maji baharini
anaxema yanapungua kinoma
duh!
Iv we m2 ukienda dar umekaa
wiki moja ukirudi huku mikoani
hadi rafudhi inabadilika
duh!
2badilike bhanaaa
tena bola angekua mwana mke
sasa mwanaume
duh!
Kaniboa sanaaa
Aisee Dar kuna Mibugando mingi. Hajakuadidhia Mibugando aliyoiona Dar?
Pia wewe inatakiwa ubadilike hiyo xana ndo nini kweli nyani hajioni.........