wa mikoani wakienda dar wakirudi

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
kuna jamaa yangu nipo nae hapa
ananiboa kinouma
yeye aliendaga Dar
sasa kila sehemu akiiona kwenye
tv
utaskia
coco beach iyo
mala karia koo iyo
mala akiyaona maji baharini
anaxema yanapungua kinoma
duh!
Iv we m2 ukienda dar umekaa
wiki moja ukirudi huku mikoani
hadi rafudhi inabadilika
duh!
2badilike bhanaaa
tena bola angekua mwana mke
sasa mwanaume
duh!
Kaniboa sanaaa
 
Pole sana mkuu! Mijitu kama hiyo huwa inaitwa minyangema.

Naona una hasira hadi ukaamua kujiunga jf umpake live.
KARIBU SANA.
 
Hivi Xaaana ndio nini? Mbona mnatuletea mambo ya kijinga wazee wenu? Hebu kueni na adabu ala! Mtarudi kulee 0713!
 
yale yale mtu mnaangalia movie anasema pale New York...kumbe movie ilishutiwa chicago
 
Hivi Xaaana ndio nini? Mbona mnatuletea mambo ya kijinga wazee wenu? Hebu kueni na adabu ala! Mtarudi kulee 0713!
Hata neno ukarabati halikuwepo kwenye kamusi lakini baadaye likaingizwa. Walikuwepo wabishi kama wewe wanaodhani lugja haikui
 
kuna jamaa yangu nipo nae hapa
ananiboa kinouma
yeye aliendaga Dar
sasa kila sehemu akiiona kwenye
tv
utaskia
coco beach iyo
mala karia koo iyo
mala akiyaona maji baharini
anaxema yanapungua kinoma
duh!
Iv we m2 ukienda dar umekaa
wiki moja ukirudi huku mikoani
hadi rafudhi inabadilika
duh!
2badilike bhanaaa
tena bola angekua mwana mke
sasa mwanaume
duh!
Kaniboa sanaaa

Huyo jamaa yako ajapiga picha pale manzese kwenye daraja kweli??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom