barakamorinho1357
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 290
- 329
Mimi nilinunua Nairobi wakati nataka kutengeneza Incubator kwa ajili ya kutotolesha mayaiWadau Habari zenyu! Ninatoa ofa ya Tshs 20,000/= kwa yeyote atakaenitafutia kifaa hiki kinaitwa W1209 thermostat temperature controller kwa pata Tanzania [emoji1241]!
Tafadhari, Kama uko tayari njoo PMView attachment 1089318
Mkuu, utanisaidiaje ktk hili,..Mimi nilinunua Nairobi wakati nataka kutengeneza Incubator kwa ajili ya kutotolesha mayai
Kilikugharimu fedha ngapi kukinunua Nairobi?Mimi nilinunua Nairobi wakati nataka kutengeneza Incubator kwa ajili ya kutotolesha mayai
Jamaa walinichaji laki na kumi ngoja nifike ofisin nitakutumia email yaoKilikugharimu fedha ngapi kukinunua Nairobi?
mkuu nami nipe maelekezo ya mawasiliano yao hapo uliponunuliaMimi nilinunua Nairobi wakati nataka kutengeneza Incubator kwa ajili ya kutotolesha mayai
Typing error.. ( kwa hapa Tanzania [emoji1241])
Mkuu kama ulifanikiwa kupata nipe maelekezo jinsi yakukipataWadau Habari zenyu! Ninatoa ofa ya Tshs 20,000/= kwa yeyote atakaenitafutia kifaa hiki kinaitwa W1209 thermostat temperature controller kwa pata Tanzania [emoji1241]!
Tafadhari, Kama uko tayari njoo PMView attachment 1089318
Agiza china au India bei cheeWadau Habari zenyu! Ninatoa ofa ya Tshs 20,000/= kwa yeyote atakaenitafutia kifaa hiki kinaitwa W1209 thermostat temperature controller kwa pata Tanzania [emoji1241]!
Tafadhari, Kama uko tayari njoo PMView attachment 1089318
Unakihitaji bado?Mkuu kama ulifanikiwa kupata nipe maelekezo jinsi yakukipata