Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 150
Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu.
mfano chuo gan mkuu?Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu.
mfano chuo gan mkuu?
kajipange upya
Saut ishatema tiyari
Http://saut.ac.tz
naomba tovuti ya st.joseph
Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu.St.Joseph,Saut,Cuhas na vingine nitaendelea kuwafikishia.Majina yanapatikana kwenye tovuti za vyuo.
hivi hata akili ndogo ya kugoogle hizo websites hamna? dah mna tabu sana
Elimu ya kibongo ni shidaah aiseeh inabidi tusaidiane tu ivo ivo sa utafanyaje sasa jamaa angu... ndo wasomi wetu hao