Kwa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form 6 science waliokosa sifa za kujiunga shahada foundation courses zipo za mwaka 1.Karibuni huduma inatolewa bure