Vyumba vya kupanga Mbagala

kazi47

Member
Joined
Aug 27, 2019
Posts
29
Reaction score
39
Natafuta CHUMBA hapo Mbagala bei kuanzia 50000 hadi 70000, toi iwe ndani vipi nitapata?
 
Mbagala kuna sehemu imetulia? Mbagala yote ni vurugu tupu, maana Watu masikini wote wako Mbagala
Naongelea room iwe sehem tulivu, kila mtu awe bize na mambo yake. Hakuna sehemu kama hiyo pia?
 
Mbagala kuna sehemu imetulia? Mbagala yote ni vurugu tupu, maana Watu masikini wote wako Mbagala
Kama una namba ya dalali yoyote mitaa hyo niwekee hapa.
 
Kama una namba ya dalali yoyote mitaa hyo niwekee hapa.
Sina, ila nenda Maji Matitu utapata dalali wengi tu! Nina "nyumba" kule, nakufahamu, kote ni vurugu tupu! Overcrowded place lazima kukose utulivu......
 
Sina , ila nenda Maji Matitu utapata dalali wengi tu! Nina "nyumba" kule, nakufahamu, kote ni vurugu tupu! Overcrowded place lazima kukose utulivu......
Noted
 
Nipigie 0628731833
Maeneo yametulia kabisa
 
Naongelea room iwe sehem tulivu, kila mtu awe bize na mambo yake. Hakuna sehem kama hiyo pia?
Msome vizuri katikati ya mistari utamuelewa,mbona ameelezea vizuri tu?
 
Mimi nakushauri kama ni lazima upate makazi barabara hiyo basi kubali kutoka nje ya hapo sogea mbele uelekeo wa Chamazi (though sijawahi kufika zaidi ya hapo Mbagala) naamini huko utapata sehemu tulivu kidogo.

Hapo sijui Zakhem Mbagala Kuu pameshajaa ujenzi wao ni bati ukuta bati ukuta huwezi hata kujua nyumba hii ya nani hii ya nani so ni uwongo kupata utulivu hapo.
 
Mbagala hakuna chumba chenye choo ndani, Mbagala hakuna chumba kodi inazidi 30,000.
 
Mbagala hakuna chumba chenye choo ndani,mbagala hakuna chumba kodi inazidi 30,000.
Kwa hiyo mdau na hiyo 50,000/=&70,000/= yake amejipiga mwingi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Njoo kijichi kama unaelekea hostel za DUCE nikupatie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…