Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
tunakuja ndio tupo zanzibar ferry terminal
sehemu gani ya kigamboni?
maana kama ni midizini, pale karibia na polisi, tungi, tuamoyo na maeneo
baadhi pana jaa sana maji wakati wa mvua
tunakuja ndio tupo zanzibar ferry terminal
haya bwana mi si mkazi wa
kudumu wa huko ila napenda kila ijumaa mpaka j2 kukaa huko na familia
yangu kubadilisha upepo ndiyo nikapita pita hayo maeneo nikaona maji
yananifikia kwenye magoti
Hahaha! Kuna kitu ningekwambia mkuu ila ngoja nikuache! Ila wanaokuja wataona wenyewe!
Tuwekee picha tuone kama ni kweli hakuna mstari wa maji kujaa kwenye kuta!
Nilipobold, hivi kweli kodi ni 150,000 kwa mwezi au kwa miezi 6 kama ulivyoandika.Chumba na sebule na choo chake vinapangishwa Kigamboni pango ni sh.150,000 kwa miezi 6.
Pia kuna Chumba na sebule na jiko lake 180,000 na Self ya 80,000. Vyote viko Kigamboni, km 3 kutoka ferry, pikipiki sh.1000, Daladala sh. 400 kutoka ferry. Karibu PM
Nilipobold, hivi kweli kodi ni 150,000 kwa mwezi au kwa miezi 6 kama ulivyoandika.
Tuwekee picha tuone kama ni kweli hakuna mstari wa maji kujaa kwenye kuta!
Mkuu nataka vyumba kigambon ni pm fastaaVp Mbona uko kimya, unakuja hauji?
kuna dalali mmoja anaitwa mopela , yupo mitaa ya west zone karibu na Bakery. mtafute huyo faster sana.Mkuu nataka vyumba kigambon ni pm fastaa
Ungeweka mawasiliano yake.kuna dalali mmoja anaitwa mopela , yupo mitaa ya west zone karibu na Bakery. mtafute huyo faster sana.
Shuka ferry ulizia West zone ,ukifika west zone muulizie guyo mtu anayeitwa mopela.Ungeweka mawasiliano yake.