Single room kodi ya mwaka mabibo near Nit barabarani na rahisi kufika fense, maji na pasafi Panahitaji vijana wasio na familia hakuna kulipa pesa ya dalali. 60,000. PM
Usumbufu......wati wenye familia huwa wanachosha nyumba haraka.....uchavuzi wa mazingira....kelele za watoto ....matumizi mabaya ya umeme na maji na kadhalika.....me ni baba mwenye nyumba so ninaongea kwa uzoefu