eddy brown JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 414 Reaction score 314 Oct 20, 2019 #1 Kuna master, chumba na sebule jiko, choo na store (laki moja) Chumba peke yake kuna cha elf 40 na cha elf 30. Maji yapo, vyumba vipo karibu kabisa na stand mpya ya Mbagala kuu. Mawasiliano: 0715886671
Kuna master, chumba na sebule jiko, choo na store (laki moja) Chumba peke yake kuna cha elf 40 na cha elf 30. Maji yapo, vyumba vipo karibu kabisa na stand mpya ya Mbagala kuu. Mawasiliano: 0715886671
tongelao JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 798 Reaction score 2,243 Oct 21, 2019 #3 Kweli chumba kikubwa hasa hicho cha laki... Nmekipenda Sana na hiyo rangi yake imesimama
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,910 Reaction score 38,665 Oct 21, 2019 #4 tongelao said: Kweli chumba kikubwa hasa hicho cha laki... Nmekipenda Sana na hiyo rangi yake imesimama Click to expand... Rangi yake umeiona kwenye maombi au?
tongelao said: Kweli chumba kikubwa hasa hicho cha laki... Nmekipenda Sana na hiyo rangi yake imesimama Click to expand... Rangi yake umeiona kwenye maombi au?
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,974 Reaction score 17,070 Oct 21, 2019 #5 Weka picha kwasababu nilichotaka kuandika nimekusamehe