milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 632
Ili iweje,una nini haswa mpaka utafutweKuweni makini ndugu zangu..watu wa kitengo wanatafuta really id za watu Kwa staili hii...
Ndio mkuuumwenye nyumba anaishi humo ndani?
Watu mnapenda kutishana ...eti kitengo.Ili iweje,una nini haswa mpaka utafutwe
Samahani mkuu...simu yangu ina shida kwenye kamera (spark k9, wanaozifahamu watajua namaanisha nini).Weka na picha mkuu
Kama ndo hivo basi, nina allergy na wenye nyumba.Ndio mkuuu
Nyumba nzuri zipo mkuu kuanzia laki 3 na kuendeleaa maeneo karibu na mjini tuwasiliane boss Whatsapp /call 0656-548919Mie nahitaji nyumba yakupanga Dom kuanzia mwezi ujao wa nane 2019.
Nimeona instagram ntakucheki soon mkuu.Nyumba nzuri zipo mkuu kuanzia laki 3 na kuendeleaa maeneo karibu na mjini tuwasiliane boss Whatsapp /call 0656-548919
Instagram@dalalibeka_dodoma
Oya najua ni nje ya Topic lakin niko na tafuta frem ya kufanyia biashara Dodoma mjin... Vip una weza nisaidia!??Wakuu kuna vyumba viwili vinapangishwa. Nyumba ipo maeneo ya maili mbili Dodoma.
Gharama ni 30,000/= kwa chumba kimoja na unaweza kulipia kuanzia miezi mitatu. Hakuna hela ya dalali, unanipa hela mwenyewe.
Vyumba vipo kwenye hali nzuri. Umeme wa Tanesco, maji ya Duwasa. Choo cha ndani. Sakafu ya sementi na gypsum.
Kwa wahitaji, niPM
Najua iko nje ya maadaWakuu kuna vyumba viwili vinapangishwa. Nyumba ipo maeneo ya maili mbili Dodoma.
Gharama ni 30,000/= kwa chumba kimoja na unaweza kulipia kuanzia miezi mitatu. Hakuna hela ya dalali, unanipa hela mwenyewe.
Vyumba vipo kwenye hali nzuri. Umeme wa Tanesco, maji ya Duwasa. Choo cha ndani. Sakafu ya sementi na gypsum.
Kwa wahitaji, niPM
Oya najua ni nje ya Topic lakin niko na tafuta frem ya kufanyia biashara Dodoma mjin... Vip una weza nisaidia!??
Najua iko nje ya maada
Niko natafuta frem. Ya kufanyia biashara Dodoma mjin
Waweza nisaidia???
Nyumba inaweza kuchukua wapangaji wanne tu. Karibu mkuuMkuu fafanua kwenye hili.
Nyumba ina/inaweza kubeba wapangaji wangapi?
Kuna nyumba moja nilipelekwa area A, lile ni bweni bhana. Lina vyumba 24, 12 vipo kulia, 12 kushoto.
Kuna wengine kukaa kwenye watu wengi sana ni mtihani.
Namba ya simu ni muhimu.
Nataka Fanya Biashara ya kuuza viatu, sandle za kike kwa jumla jumlaUnataka kufanya biashara gani mkuu maana kila biashara ina location zake. Kuna fremu ninayo kwa kuanzia
Spark K9 mbona mkuu inapeleka picha vizuri,labda useme kuwa kuna features huwezi kuzitumia hapo tutakuelewa..Samahani mkuu...simu yangu ina shida kwenye kamera (spark k9, wanaozifahamu watajua namaanisha nini).
Ila vyumba vipo vizuri