Vyumba na sebule mbezi beach......

Vyumba na sebule mbezi beach......

jacksonEstate

Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
58
Reaction score
52
Vyumba na sebule vinapatikana mbezi beach kwa bei nafuu kabisa.....
Call 0624179577.
 
Singe master 120,000 mpaka 100,000...
Two master 200,000 mpaka 350,000..
Three master 400,000 mpaka 500,000.

Hivi vyumba ndio vya aina gani? Three master ndio nini?

Kwa nini usiandike tangazo vizuri ukaweka picha na maelezo ya kutosha? Kati ya sekta zilizovamiwa hii ya real estate inaongoza.
 
Nafikiri huyu dalali na yeye anadalalia baada ya kupata fununu ya uwepo wa vyumba kutoka kwa wenzake, msameheni bure
 
Hivi vyumba ndio vya aina gani? Three master ndio nini?

Kwa nini usiandike tangazo vizuri ukaweka picha na maelezo ya kutosha? Kati ya sekta zilizovamiwa hii ya real estate inaongoza.
Ha ha ha ha ha ha ha umemchana utamu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom