Vyuma vimekaza.....

Piga makofi kwa migufuli
Magufuli anatunyoosha hatari...ule wakati wa kuzungusha kidole na kusema "ongeza kama tulivyo" umepita awamu hii ni ya "muhudumu tuletee ugali mboga mboga na glass nne" huku dumu la maji mlilonunua dukani kwa mangi liko chini ya meza mkimaliza chakula dumu linawekwa juu mezani story zinaendelea.hakuna rangi tutaacha ona!
 
Hiyo round ilikuwa inaihakikishia kodi nzuri serikali.
Maskini Abunuasi anakata tawi alilolikalia! Kuanguka ni lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…