O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Oct 8, 2015 #1 habari wadau? eti ni kweli vyeti vya sekondari (kidato cha 4 na 6) vinarudi wizarani mwishoni wa mwezi huu kama ujaenda kuchukua shuleni
habari wadau? eti ni kweli vyeti vya sekondari (kidato cha 4 na 6) vinarudi wizarani mwishoni wa mwezi huu kama ujaenda kuchukua shuleni
T trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,962 Reaction score 2,385 Oct 8, 2015 #2 Ni kweli na ukifata wizarani unapay 100K according to tetesi
abdulh iddy Senior Member Joined May 28, 2015 Posts 159 Reaction score 6 Oct 8, 2015 #3 vyet vya mwaka gan wadau
Nkobhe JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 452 Reaction score 148 Oct 8, 2015 #4 oil sumu said: habari wadau? eti ni kweli vyeti vya sekondari (kidato cha 4 na 6) vinarudi wizarani mwishoni wa mwezi huu kama ujaenda kuchukua shuleni Click to expand... hapana ni uongo hata Mimi nilidanganywa nikaenda jana shuleni nilipo malizia form six wamekataa hixo taarifa hawana hivyo basi kuna mtu alicreate tuuu hio sms
oil sumu said: habari wadau? eti ni kweli vyeti vya sekondari (kidato cha 4 na 6) vinarudi wizarani mwishoni wa mwezi huu kama ujaenda kuchukua shuleni Click to expand... hapana ni uongo hata Mimi nilidanganywa nikaenda jana shuleni nilipo malizia form six wamekataa hixo taarifa hawana hivyo basi kuna mtu alicreate tuuu hio sms
Petro Oswald JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 2,394 Reaction score 1,918 Oct 8, 2015 #5 si kweli.