Vyeti vya Dini mashuleni havina umuhimu maishani.

Lengo la elimu ile ni kukupa msingi mzuri na kuishi ukiwa na hofu ya Mungu!! Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo hivyo ilibidi upewe vile ili kukuweka katika hali ya kumjua Allah/Muumba
 
Ni kweli ulivyosema... vyeti havina umuhimu bali elimu anayepata mtu ndiyo ina umuhimu. Sasa wale wenzangu wanaosoma ili wapate vyeti lazima mambo yawe magumu. Ila kama umesoma ili uelimike faida ya elimu utaoina hata kama huna ajira.
 
Ha ha haaaa! Na viongozi huwaga ni wachungu balaa. Kama hung'ai chechi/masjid hurambi kyeti!
 
Ni kweli ulivyosema... vyeti havina umuhimu bali elimu anayepata mtu ndiyo ina umuhimu. Sasa wale wenzangu wanaosoma ili wapate vyeti lazima mambo yawe magumu. Ila kama umesoma ili uelimike faida ya elimu utaoina hata kama huna ajira.
Sure!
 
Sijawahi kuwa na izo takataka wakati nipo chuo kuna Jopo la wahafidhina lilinifata na kuanza kunipa nasaha kibao sijui sihudhurii vipindi vya dini sijui Hii dunia tu tunapita Ngojera kibao mimi kimya nawasikiliza walipomaliza nkawambia Basi pakiwa na mchango wowote wa Jumuiya niambiwe na nitatoa pasina shaka na pia hata graduation nilichangia vizuri ila sikushiriki wala cheti chao sikuhangaika nacho, Mimi sio Muslim wala Christian
 
Yani umuamini mtu kisa tu kakuonesha certificates za dini mimi nimetoa mfano kuwa sijawahi ku attend hizo Events za dini nilikuwa mchangiaji tu na cheti nili printiwa ila niliachana nacho niliona ni mzigo tu afu Kama HR wenyewe ni Type yako basi Utaua kampuni, Angalia mtu kichwani ana nini sio bra bra za Dini
 
Cheti cha dini kinakupa muongozo wa kiroho
 
Mkuu, tunza maana hivyo pamona na vile vya ubatizo inasemekana ndio tiketi ya kuingia Paradise
 
Ungeanza na academy
Bora hata vyadini kuliko vyeti feki ya elimu ya kishamba huko primary, secondary, college and university
 
Bado vinatolewa mpaka sasa?
Kuna mambo mengi sana ya kupoteza muda wabongo tunayafanya shuleni ndio maana hata wasomi wetu wengi nao ni wa kubabasiha tu.
 
Ku prove kuwa wewe ni mtu social unayechanyika na society Hivyo vyeti ni ushahidi kuwa waweza ishi na groups na teams sababu maofisini team work na group work ni lazima hivyo kuhakikisha kuwa mtu aweza kufanya kazi in groups na team cheti muhimu sio kujibu tu ohh naweza fanya kazi kwenye groups au team where is the evidence? Usiwaone kama wajinga wanaotoa hivyo vyeti
Sehemu zingine hupima loyalty yako mfano if you are not loyal to God utakuwaje loyal kwa binadamu bosi wako? Kama una Hivyo vyeti vya dini Ni njia pia ya ku prove kipengele Cha royality!!!
 
Wewe ni bure kabisa kwaiyo having religious certificates ndio ina prove uaminifu wako? Mimi siamini katika dini na popote pale sijawahi kufanya introduction nikahusisha inshu za dini na Capability ya ku work na team haiwi proved na izo takataka unazongelea apa, Angali mtu kichwani ana nini sio bra bra eti vyeti mimi hata academic certificate huwa siviweki ata Consideration kiivo kinacho matter na watu you have experience na Success ulizo archive mambo ya kusema sijui nina cheti cha ukwata sijui cha bakwata sijui cha tafes sijui cha TAG huko ni kutaka kujificha kwenye kichaka cha dini ili uonekane mtiifu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…