Vyeo NEC vinatolewa kwa rushwa

Ado Shaibu

Member
Joined
Jul 3, 2010
Posts
99
Reaction score
111
TUME YA UCHAGUZI VYEO VINATOLEWA KWA RUSHWA"- MSAFIRI MTEMELWA

"Hata vyeo vinatolewa kwa rushwa. Leo ukienda Tume ya Uchaguzi aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Ramadhan Mapuri leo ni Kamishna wa Tume. Yaani aliyekuwa Msemaji wa chama kama Polepole leo yeye ndio Kamishna wa Tume!!

Leo unamuona Mkurugenzi wa Uchaguzi akiwa na Ilani ya CCM. Picha zilionesha. Hao ndio marefa wanaokwenda kusimamia mpira. Tayari wanaonesha wana upande"

Msafiri Mtemelwa, Naibu Katibu Mkuu Bara, ACT Wazalendo.

#Mahojiano #TuongeeAsubuhi #StarTV

Fuatilia mahojiano yote kwenye link:
 
Hiyo ndio demacrasia ya nchi za kafrica inayohubiliwa na viongozi wetu yaani hata aibu hawana.
 
Halafu watu wakihoji wanasema kila nchi ina mambo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…