princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,553
- 14,383
Ndio nawasubiri wao wanaelewaPole aiseeee wabobobez watakusaidia jaribu hata kugoogle upate utaalam zaidi wa tatizo lako
Duu hatari ya vyakula
Ahahahahaha, kula anjeraaWakati mwingine nahisi life style ndio ugonjwa wenyewe.
Ila mzizi hivyo vitu alivyonikataza ntabaki kama moja
Anjera ni niniAhahahahaha, kula anjeraa
Dooh vyakula vya wanga vyote,nk
Sasa ntakula nini mkuu wangu?
usile wali,ugali wa aina yoyote ile. kula ndizi mbichi ,mtama,uwele,ufuta, na nafaka zingine zoteDooh vyakula vya wanga vyote,nk
Sasa ntakula nini mkuu wangu?
mtafute huyu mtu dr boaz mkumbo youtube au instagram amefanyika msaada sdanaHabari jf doctor's
Baada ya kwenda hospitali kumwelezea daktari matatizo yangu ya uzazi. Uti zisizoisha,candida zisizoisha.bleed vitone tone kila mwezi kidogoo. Vipimo vyangu vikaonyesha nina;
Vagina PH 5
hormone imbalance
Utra sound ikaonyesha sina tatizo
Full blood picture
Nikaambiwa mkojo wangu ni acidic ..pia hio lymph (madaktari mtanisaidia) kwamba kuna cell zangu zinakufa kwa asilimia 48.7%
Nikatoa maelezo mengine ikaonekana niliwahi kupata mimba long ikatoka halafu sikujua kwahiyo mji wa mimba una vidonda ndio vinasababisha haya yote.
Nikaandikiwa zithromax/ azithromaycin 4 ×1(3days)
Kuhusu hormone sijaandikiwa dawa
Wakuu mnanishaurije? Maana ukavu kwenye vagina haujaisha.
Je kuhusu life style yangu nini nifanye nini nisifanye maana huwenda vinachangia hili tatizo,nile nini nini nisile?
Karibuni wakuu
mtafute huyu mtu dr boaz mkumbo youtube au instagram amefanyika msaada sdana
Nimepitia almost thread zako zote za nyuma, hauhitaji ushauri mwingine wowote Princess, Pima HIV kwanza... Don't worry just do it, its important!! halafu baada ya hapo ndo tutibu ugonjwa kwa dawa.Kuna magonjwa yanatibiwa kwa dietary changes and life style lakini si huo wa kwako, you need something!! i mean it.Habari jf doctor's
Baada ya kwenda hospitali kumwelezea daktari matatizo yangu ya uzazi. Uti zisizoisha,candida zisizoisha.bleed vitone tone kila mwezi kidogoo. Vipimo vyangu vikaonyesha nina;
Vagina PH 5
hormone imbalance
Utra sound ikaonyesha sina tatizo
Full blood picture
Nikaambiwa mkojo wangu ni acidic ..pia hio lymph (madaktari mtanisaidia) kwamba kuna cell zangu zinakufa kwa asilimia 48.7%
Nikatoa maelezo mengine ikaonekana niliwahi kupata mimba long ikatoka halafu sikujua kwahiyo mji wa mimba una vidonda ndio vinasababisha haya yote.
Nikaandikiwa zithromax/ azithromaycin 4 ×1(3days)
Kuhusu hormone sijaandikiwa dawa
Wakuu mnanishaurije? Maana ukavu kwenye vagina haujaisha.
Je kuhusu life style yangu nini nifanye nini nisifanye maana huwenda vinachangia hili tatizo,nile nini nini nisile?
Karibuni wakuu
Kila nikienda hosp napimaga sina. Napimaga sukari nayo sinaNimepitia almost thread zako zote za nyuma, hauhitaji ushauri mwingine wowote Princess, Pima HIV kwanza... Don't worry just do it, its important!! halafu baada ya hapo ndo tutibu ugonjwa kwa dawa.Kuna magonjwa yanatibiwa kwa dietary changes and life style lakini si huo wa kwako, you need something!! i mean it.
Nitafute mimi kwa wakati wako nikupe tiba sahihiKila nikienda hosp napimaga sina. Napimaga sukari nayo sina
Ila wanasema haya mambo yanayonisumbua yenyewe tu yanapunguza kinga ya mwili
Maana siishi kunywa dawa.
Tena hapo ndo kwa mara ya kwanza nmeensa hospital atleast mmepewa majibu ya maana.
Mkuu sisi tusio na ela na bima hatuna tunaishiaga zahanati ambako majibu ya maana hakuna unarundikiwa midawa tatizo linazidi maradufu. Ukisogea sana unaishia mnazi mmoja ambako hakuna daktari atakaekaa chini kukusikiliza sana wala kukueleza sana.
Hio kupima hormone imbalance tu inafika laki na nusu na ushee izo ela nazitoa wapi.
Ntaacha kuugua mpk nife mkuu
Mm nnaamini tu sijapata tiba sahihi
Pole sana... umepungua uzito? reference ya nguo ulizokua unavaa may be sasa hivi hazikutoshiKila nikienda hosp napimaga sina. Napimaga sukari nayo sina
Ila wanasema haya mambo yanayonisumbua yenyewe tu yanapunguza kinga ya mwili
Maana siishi kunywa dawa.
Tena hapo ndo kwa mara ya kwanza nmeensa hospital atleast mmepewa majibu ya maana.
Mkuu sisi tusio na ela na bima hatuna tunaishiaga zahanati ambako majibu ya maana hakuna unarundikiwa midawa tatizo linazidi maradufu. Ukisogea sana unaishia mnazi mmoja ambako hakuna daktari atakaekaa chini kukusikiliza sana wala kukueleza sana.
Hio kupima hormone imbalance tu inafika laki na nusu na ushee izo ela nazitoa wapi.
Ntaacha kuugua mpk nife mkuu
Mm nnaamini tu sijapata tiba sahihi
Sijapungua niko tu nilivyo. Ila nmepunguza kula kidogo maana nilikua nanenepa nakua bonge sasa. Ukichanganya na stressPole sana... umepungua uzito? reference ya nguo ulizokua unavaa may be sasa hivi hazikutoshi
Habari jf doctor's
Baada ya kwenda hospitali kumwelezea daktari matatizo yangu ya uzazi. Uti zisizoisha,candida zisizoisha.bleed vitone tone kila mwezi kidogoo. Vipimo vyangu vikaonyesha nina;
Vagina PH 5
hormone imbalance
Utra sound ikaonyesha sina tatizo
Full blood picture
Nikaambiwa mkojo wangu ni acidic ..pia hio lymph (madaktari mtanisaidia) kwamba kuna cell zangu zinakufa kwa asilimia 48.7%
Nikatoa maelezo mengine ikaonekana niliwahi kupata mimba long ikatoka halafu sikujua kwahiyo mji wa mimba una vidonda ndio vinasababisha haya yote.
Nikaandikiwa zithromax/ azithromaycin 4 ×1(3days)
Kuhusu hormone sijaandikiwa dawa
Wakuu mnanishaurije? Maana ukavu kwenye vagina haujaisha.
Je kuhusu life style yangu nini nifanye nini nisifanye maana huwenda vinachangia hili tatizo,nile nini nini nisile?
Karibuni wakuu
Unatumia njia gani ya uzazi wa mpango