Vyakula vinavyoweza kusaidia kubalance homoni kwa mwanamke

princess ariana

JF-Expert Member
Aug 19, 2016
7,482
14,211
Habari jf doctor's
Baada ya kwenda hospitali kumwelezea daktari matatizo yangu ya uzazi. Uti zisizoisha,candida zisizoisha.bleed vitone tone kila mwezi kidogoo. Vipimo vyangu vikaonyesha nina;
Vagina PH 5
hormone imbalance
Utra sound ikaonyesha sina tatizo
Full blood picture

Nikaambiwa mkojo wangu ni acidic ..pia hio lymph (madaktari mtanisaidia) kwamba kuna cell zangu zinakufa kwa asilimia 48.7%

Nikatoa maelezo mengine ikaonekana niliwahi kupata mimba long ikatoka halafu sikujua kwahiyo mji wa mimba una vidonda ndio vinasababisha haya yote.

Nikaandikiwa zithromax/ azithromaycin 4 ×1(3days)
Kuhusu hormone sijaandikiwa dawa
Wakuu mnanishaurije? Maana ukavu kwenye vagina haujaisha.

Je kuhusu life style yangu nini nifanye nini nisifanye maana huwenda vinachangia hili tatizo,nile nini nini nisile?
Karibuni wakuu
 
Full blood picture result
20190506_143537.jpeg
20190506_143003.jpeg
 
Pole aiseeee wabobobez watakusaidia jaribu hata kugoogle upate utaalam zaidi wa tatizo lako
 
mtafute huyu mtu dr boaz mkumbo youtube au instagram amefanyika msaada sdana
 
Nimepitia almost thread zako zote za nyuma, hauhitaji ushauri mwingine wowote Princess, Pima HIV kwanza... Don't worry just do it, its important!! halafu baada ya hapo ndo tutibu ugonjwa kwa dawa.Kuna magonjwa yanatibiwa kwa dietary changes and life style lakini si huo wa kwako, you need something!! i mean it.
 
Kila nikienda hosp napimaga sina. Napimaga sukari nayo sina
Ila wanasema haya mambo yanayonisumbua yenyewe tu yanapunguza kinga ya mwili
Maana siishi kunywa dawa.
Tena hapo ndo kwa mara ya kwanza nmeensa hospital atleast mmepewa majibu ya maana.

Mkuu sisi tusio na ela na bima hatuna tunaishiaga zahanati ambako majibu ya maana hakuna unarundikiwa midawa tatizo linazidi maradufu. Ukisogea sana unaishia mnazi mmoja ambako hakuna daktari atakaekaa chini kukusikiliza sana wala kukueleza sana.
Hio kupima hormone imbalance tu inafika laki na nusu na ushee izo ela nazitoa wapi.
Ntaacha kuugua mpk nife mkuu
Mm nnaamini tu sijapata tiba sahihi
 
Nitafute mimi kwa wakati wako nikupe tiba sahihi
 
Pole sana... umepungua uzito? reference ya nguo ulizokua unavaa may be sasa hivi hazikutoshi
 
Sijapungua niko tu nilivyo. Ila nmepunguza kula kidogo maana nilikua nanenepa nakua bonge sasa. Ukichanganya na stress
Vyakula vyangu sasa pepsi/coca. Chips mayai.wali yani yale mavitu makuku
Ndo mana nimejishtukia kwa kiasi fulani

Na hapa nmekunywa dawa nikasema naacha soda sasa... jana nilienda ugenini nikapewa soda nikanywa puf kadhaa tu nilitaka kulia upandw mmoja wa tumbo uliniuma kama nataka kufa nikaomba maji nikanywa lita ndo pakakaa sawa. Sikutaka kuwaeleza masaibu maana wasingenielewa nikajikaza
Ila soda staki tena
 
Unatumia njia gani ya uzazi wa mpango
Habari jf doctor's
Baada ya kwenda hospitali kumwelezea daktari matatizo yangu ya uzazi. Uti zisizoisha,candida zisizoisha.bleed vitone tone kila mwezi kidogoo. Vipimo vyangu vikaonyesha nina;
Vagina PH 5
hormone imbalance
Utra sound ikaonyesha sina tatizo
Full blood picture

Nikaambiwa mkojo wangu ni acidic ..pia hio lymph (madaktari mtanisaidia) kwamba kuna cell zangu zinakufa kwa asilimia 48.7%

Nikatoa maelezo mengine ikaonekana niliwahi kupata mimba long ikatoka halafu sikujua kwahiyo mji wa mimba una vidonda ndio vinasababisha haya yote.

Nikaandikiwa zithromax/ azithromaycin 4 ×1(3days)
Kuhusu hormone sijaandikiwa dawa
Wakuu mnanishaurije? Maana ukavu kwenye vagina haujaisha.

Je kuhusu life style yangu nini nifanye nini nisifanye maana huwenda vinachangia hili tatizo,nile nini nini nisile?
Karibuni wakuu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom