Vyakula vinavyoweza kusaidia kubalance homoni kwa mwanamke

Wakuu nmefatilia kuhusu mlo kamili & wa kurekebisha homoni
nna wiki mbili sasa hivi najiskia vizuri sana. Tumbo haliniumi kabisa,mgongo hauumi kabisa.mkojo hauumi kabisa
nna amani emotionally & physically
nawashukuru sana wakuu
nitakua nawapa update
 

Attachments

  • Screenshot_20190603-214805.png
    Screenshot_20190603-214805.png
    149.9 KB · Views: 52
Ila princess kama tatizo la hormone imbalance nadhani daktari angekuambia ni hormone gani haipo sawa tumia vidonge kwanza baada ya hapo ndo uanze na hiyo milo na hasa vyakula vya mafuta vinasaidia kuongeza hormones

Nashauri kwa wanawake ni vema ukachukua namba ya dokta wako ili vitu kama hivi unamuuliza

Na kama daktari wako kupatikana ni ngumu nashauri tumia hivi vidonge vya kupanga uzazi vile vya rangi mbili (coc) vinasaidia sana
Mimi hormone ya ploractin ndo imezidi na period nilipitisha kama miezi tisa, wiki ilopita imeanza kutoka, naweza tumia hivyo vidonge vikanisaidia na isikate tena? Na hivyo vidonge vya rangi mbili ni vya kampuni gani?
 
Kila nikienda hosp napimaga sina. Napimaga sukari nayo sina
Ila wanasema haya mambo yanayonisumbua yenyewe tu yanapunguza kinga ya mwili
Maana siishi kunywa dawa.
Tena hapo ndo kwa mara ya kwanza nmeensa hospital atleast mmepewa majibu ya maana.

Mkuu sisi tusio na ela na bima hatuna tunaishiaga zahanati ambako majibu ya maana hakuna unarundikiwa midawa tatizo linazidi maradufu. Ukisogea sana unaishia mnazi mmoja ambako hakuna daktari atakaekaa chini kukusikiliza sana wala kukueleza sana.
Hio kupima hormone imbalance tu inafika laki na nusu na ushee izo ela nazitoa wapi.
Ntaacha kuugua mpk nife mkuu
Mm nnaamini tu sijapata tiba sahihi
Tumieni na dawa za asili.
...pata kuva ..mrehani..mkunde kunde..nk...


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom