utaharisha hadi utumbo
Hahahahautaharisha hadi utumbo
nimecheka sana kwakweliUshawahi kwenda vyoo vya wahindi Vina harufu tofauti na vyoo vyetu waswahili.Sasa kuanzia leo na kesho Chooni kwako ukimaliza kukata googoo kutakua na Harufu ya vyoo vya Uhindini
Jibini? ndo kitu gani?Ilikuwa ni Chocolate ya jibini mkuu. Kama nimekosea tafsiri yake mnisahihishe wadau.
anakuandaa kisaikolojia afu baadae ushindwe kuperform kitandani sasa ....Waungwana nimeshtukizwa na hii supu baada ya kurudi kutoka church; wife ananimbia inaitwa sijui Broccoli cheese soup
Stay tuned...
View attachment 731226