darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 404
- 359
🤣 🤣Mi100 mtumba wa 2002?
🤣🤣🤣Mi100 mtumba wa 2002?
🤣🤣 Mkuu vuta chuma hiyo.2002 for 100m? Not very serious people 🧐
Kwani Kinachofanya Bei Ya Gari Kuwa Juu Ni Mwaka Uliotengenezwa Au Thamani Ya Gari?2002 for 100m? Not very serious people 🧐
Sawa Mtumba Umefanyaje?Mi100 mtumba wa 2002?
Chuma chakavu chenye thamani ya 100MBei/Price TSH 100M
Call +255 747 999 927
LAND CRUISER VX AMAZON
Year: 2002
Engine: 4.2L
Fuel Used: DIESEL
Engine Type: 1HD-FTE
Transmission: AUTOMATIC
100% Duty Paid
Free Registration
Exchange Possible
Xenon Boosted Lights
Ganador Full Exhaust
Bradley 4x4 Wheels
View attachment 3521808View attachment 3521812View attachment 3521809
Kwa wanaojua magari, hii ni gari kali sana.Chuma chakavu chenye thamani ya 100M
Sawa... Ila haibadilishi kua ni chuma chakavu hichoKwa wanaojua magari, hii ni gari kali sana.
1HD-FTE kwa wanaozijua, watu wa mkoani watafuta hii
Kawauzie washamba wasiojua magari kama weweKwani Kinachofanya Bei Ya Gari Kuwa Juu Ni Mwaka Uliotengenezwa Au Thamani Ya Gari?
Kuna Mstari Mwembamba Sana Kati Ya Ujuaji Na Ushamba
Chuma chakavu ambacho kitadumu kuliko LC 300 mpyaSawa... Ila haibadilishi kua ni chuma chakavu hicho
Sawa... Sio Chuma Chakavu anaita Chuma Mbichi anatuonaje sisi... Yani ni kama mwanamke wa 40+ na bikra hana unamuita mtoto mbichi kisa hajazaa Duh! Mahali 100M kisa anaMSHEPU Hahahaa...Chuma chakavu ambacho kitadumu kuliko LC 300 mpya
Ndio maana tunasema wanaojua magari.Sawa... Sio Chuma Chakavu anaita Chuma Mbichi anatuonaje sisi... Yani ni kama mwanamke wa 40+ na bikra hana unamuita mtoto mbichi kisa hajazaa Duh! Mahali 100M kisa anaMSHEPU Hahahaa...
Sawa Mtumba Umefanyaje?Mi100 mtumba wa 2002?
Taarabu Siziwezi Mimi Mtu Wa Bars Ninachojua Ni Kupiga Kazi. Endelea Kuongea Mdomo Mali YakoKawauzie washamba wasiojua magari kama wewe
Asante Kaka. Unajua Siku Zote Kuuliza Sio Ujinga Hata Kidogo.Kwa wanaojua magari, hii ni gari kali sana.
1HD-FTE kwa wanaozijua, watu wa mkoani watafuta hii