VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Kuna mtu aliwahi-kuniambia hata "ndui" iliwasumbua sana wataalamu lakini baadaye chanjo ilipatikana.
I hope kuna watu wanapambana usiku na mchana kutafuta ufumbuzi wa hili.
 
Tahadhari ni bora siku zote Msweet. Kwa analysis ya harakaharaka naona kiwango cha maambukizi kina tofautiana mkoa hadi mkoa isipokuwa michache sana kiwango kinalingana (mf. Geita, Dodoma, Tanga [5.0%])

Aidha, takwimu hizi zinaonesha kwamba ni ktk mikoa miwili tu (Njombe 11.4% na Iringa 11.3%) ambako maambukizi yapo ktk makumi (double digits), mikoa yote iliyobakia kiwango cha maambukizi kipo ktk mamoja (single digit).

Hivyo, serikali, taasisi binafsi na jamii kwa ujumla wake ziendelee kupigana hasa ktk kupunguza kasi ya maambukizi mapya ktk mikoa yote ili kiwango cha maambukizi kiweze kushuka chini zaidi kama ilivyo ktk mikoa ya Kasikazini Pemba (0.0%) na Kusini Unguja (0.0%) n.k.

Ngoja aje mtaalamu wetu nae atoe analysis yake. Cc. Papa Mobimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIV ni virus kama inavyosemekana au ni free genetic material ambayo inabadili Cell nucleulous na kupelekea mwili kubadilika,Nategemea jibu ukibase kwenye concept ya DNA/RNA replication
Kuongezea hapo.... Naomba kujua kuna aina ngapi za HIV Virus waliopo.... Asante.
 
Kwa hiyo UKIMWI ni matatizo ya Kigenetiki ambayo husababishwa na HIV? mimi siamini HIV ni virus kama wanavyosema,inabidi atafutiwe maelezo mengine,je haiwezekani Ku modify RNA yake ili isiwe na madhara kwa binadamu
Utamodify kwa watu milioni 36.9 wenye maambukizi?
 
Je takwimu hii huwa imetokana na waliojitokeza au mbinu za upimaji wa siri pindi mtu anapoenda hospitali ukijumuisha na waliojitokeza kupima kwa hiari?
Takwimu za kujua kiwango cha ugonjwa katika jamii huwa ni cross section study, ambapo watu fulani wanakua sampled kama representatives wa population fulani
 
Dah!!
Kwa takwimu hizi Inaonesha huko Zanzibar waathirika ni wachache sana.
 
Wew maelezo mafupi
Virus huyo yupo kwenye damu tuu.
Na mtu wakat wa sex ni mchubuko tuu ndo unaoelekea mtu kuambukizwa na sio shahawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…