Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Mar 16, 2015 #81 Masuke said: Hapa inabidi Azam mkikutana nao mtoe draw halafu tukikutana nao sisi inabidi tuwafunge ili msimamo ulete heshima kidogo. Click to expand... Poa tu, Simba mtakuwa mmejihakikishia nafasi ya 2 mnayoitamani sana. Ubingwa wa Yanga ameushikilia Simba na Yanga ameshikilia nafasi ya pili ya Simba. Hakuna shaka mwaka huu hamtawaachia Azam kama mwaka jana.
Masuke said: Hapa inabidi Azam mkikutana nao mtoe draw halafu tukikutana nao sisi inabidi tuwafunge ili msimamo ulete heshima kidogo. Click to expand... Poa tu, Simba mtakuwa mmejihakikishia nafasi ya 2 mnayoitamani sana. Ubingwa wa Yanga ameushikilia Simba na Yanga ameshikilia nafasi ya pili ya Simba. Hakuna shaka mwaka huu hamtawaachia Azam kama mwaka jana.
The Invincible JF-Expert Member Joined May 6, 2006 Posts 6,006 Reaction score 3,281 Mar 16, 2015 #82 Gamaha said: Kweli mkuu mi jana nilichukia sana eti mmeshinda goli tano, hata bia sikunywa nililala tu nyumbani kwa hasira. Click to expand... Usiongee habari za bia kwa huyu msabato Makoye Matale. Azamfc oyeeee! Poleni mikia na yeboyebo.
Gamaha said: Kweli mkuu mi jana nilichukia sana eti mmeshinda goli tano, hata bia sikunywa nililala tu nyumbani kwa hasira. Click to expand... Usiongee habari za bia kwa huyu msabato Makoye Matale. Azamfc oyeeee! Poleni mikia na yeboyebo.
Makoye Matale JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 6,490 Reaction score 2,104 Mar 16, 2015 #83 The Invincible said: Usiongee habari za bia kwa huyu msabato Makoye Matale. Azamfc oyeeee! Poleni mikia na yeboyebo. Click to expand... Nusura nipigie 'Like' sentensi ya mwisho sijaipenda.
The Invincible said: Usiongee habari za bia kwa huyu msabato Makoye Matale. Azamfc oyeeee! Poleni mikia na yeboyebo. Click to expand... Nusura nipigie 'Like' sentensi ya mwisho sijaipenda.
The Invincible JF-Expert Member Joined May 6, 2006 Posts 6,006 Reaction score 3,281 Mar 16, 2015 #84 Makoye Matale said: Nusura nipigie 'Like' sentensi ya mwisho sijaipenda. Click to expand... Ha ha haaa! Take it easy buddy!
Makoye Matale said: Nusura nipigie 'Like' sentensi ya mwisho sijaipenda. Click to expand... Ha ha haaa! Take it easy buddy!
M Muhuwesi JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 306 Reaction score 132 Mar 16, 2015 #85 Makoye Matale said: Poa tu, Simba mtakuwa mmejihakikishia nafasi ya 2 mnayoitamani sana. Ubingwa wa Yanga ameushikilia Simba na Yanga ameshikilia nafasi ya pili ya Simba. Hakuna shaka mwaka huu hamtawaachia Azam kama mwaka jana. Click to expand... mkuu makoye kwanza simba huwa anamwachia azam nafasi au uwezo wao unaishiaga pale?msimu huu watajitahid watashika nafas ya tatu.
Makoye Matale said: Poa tu, Simba mtakuwa mmejihakikishia nafasi ya 2 mnayoitamani sana. Ubingwa wa Yanga ameushikilia Simba na Yanga ameshikilia nafasi ya pili ya Simba. Hakuna shaka mwaka huu hamtawaachia Azam kama mwaka jana. Click to expand... mkuu makoye kwanza simba huwa anamwachia azam nafasi au uwezo wao unaishiaga pale?msimu huu watajitahid watashika nafas ya tatu.