Juma kaseja kapangua krosi straight kwa juuko murshid, njama hizi. Kacheki kaona murshid yuko peke yake pembeni ya mwamba na kupangua direct na jamaa kafunga kiulaini
Umesema hao wachezaji ni watu wa Tigopesa hayumkini ndio maana hata mjiite wakimataifa au wakipemba raundi yenu ya mwisho ni ya pili. Nini sababu mnatumia sana tigopesa kwa wachezaji wa timu pinzani ooh poor you!

Kapitie faili za TFF huyo ambaye wewe unamuona wa kimataifa na ndiye unamuona haishii round ya pili NDIYE pekee aliyelipa Faini kwa kuhonga na Uchawi michezoni.