M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Oct 17, 2015 #181 Watu8 said: Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa... Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi... Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba... Click to expand... Mkuu ndo maana nikakutajia anayetoka nao sare kwa upande wa Simba.
Watu8 said: Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa... Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi... Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba... Click to expand... Mkuu ndo maana nikakutajia anayetoka nao sare kwa upande wa Simba.
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,849 Oct 17, 2015 #182 Deo Corleone said: Refa kumamamaeeeeeeeeee Click to expand... ...hahahaaa haya sasa wamekosa, omba Mungu ukoswe na ww!!
Deo Corleone said: Refa kumamamaeeeeeeeeee Click to expand... ...hahahaaa haya sasa wamekosa, omba Mungu ukoswe na ww!!
namanyele JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,852 Reaction score 611 Oct 17, 2015 #183 Masuke said: Mazingira ya kutolewa hiyo adhabu ya penati ilikuwaje? inaonekana ilikuwa ya kuonewa ndo maana wamekosa. Click to expand... haya sasa mikia furahini Yanga wamekosa penati
Masuke said: Mazingira ya kutolewa hiyo adhabu ya penati ilikuwaje? inaonekana ilikuwa ya kuonewa ndo maana wamekosa. Click to expand... haya sasa mikia furahini Yanga wamekosa penati
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,300 Reaction score 33,628 Oct 17, 2015 #184 Watu8 said: Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa... Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi... Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba... Click to expand... Kocha msaidizi wa mikia na abdi banda wakiroga mchana kweupe mikia walipocheza african sports tanga! Attachments 1445093634500.jpg 26.3 KB · Views: 514
Watu8 said: Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa... Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi... Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba... Click to expand... Kocha msaidizi wa mikia na abdi banda wakiroga mchana kweupe mikia walipocheza african sports tanga!
Yasin21 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 667 Reaction score 404 Oct 17, 2015 #185 Woyoo 1-1
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,519 Oct 17, 2015 #186 Dk 90 zimemalizika na zimeongezwa dk 4 na sasa ni dk 93 Yanga 1 - 1 Azam
S simbirisi New Member Joined Aug 13, 2015 Posts 1 Reaction score 1 Oct 17, 2015 #187 Watu8 said: Dk 90 zimemalizika na zimeongezwa dk 4 na sasa ni dk 93 Yanga 1 - 1 Azam Click to expand... Duuuuuuuh
Watu8 said: Dk 90 zimemalizika na zimeongezwa dk 4 na sasa ni dk 93 Yanga 1 - 1 Azam Click to expand... Duuuuuuuh
Njou JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 753 Reaction score 343 Oct 17, 2015 #189 Lowasa hoyeeeeeeeee
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,519 Oct 17, 2015 #190 Aishi Manula yupo chini... Muda uliobakia hautoshi hata kwa kisu kupenya kwenye koromeo la njiwa... Mpiraaaaa umekwisha Yanga 1 - 1 Azam Ngoma na Tchetche kila mmoja kila kipindi wamezifungia timu zao...
Aishi Manula yupo chini... Muda uliobakia hautoshi hata kwa kisu kupenya kwenye koromeo la njiwa... Mpiraaaaa umekwisha Yanga 1 - 1 Azam Ngoma na Tchetche kila mmoja kila kipindi wamezifungia timu zao...
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Oct 17, 2015 #191 Tumepoteza game ,point 3 zilikuwa zetu
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Oct 17, 2015 #192 Watu8 said: Aishi Manula yupo chini... Muda uliobakia hautoshi hata kwa kisu kupenya kwenye koromeo la njiwa... Mpiraaaaa umekwisha Yanga 1 - 1 Azam Ngoma na Tchetche kila mmoja kila kipindi wamezifungia timu zao... Click to expand... Hahaha..
Watu8 said: Aishi Manula yupo chini... Muda uliobakia hautoshi hata kwa kisu kupenya kwenye koromeo la njiwa... Mpiraaaaa umekwisha Yanga 1 - 1 Azam Ngoma na Tchetche kila mmoja kila kipindi wamezifungia timu zao... Click to expand... Hahaha..
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,655 Oct 17, 2015 #193 Simba iko vizuri mwaka huu - ukilinganisha na droo 9 mfululizo za mwaka jana.
C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,097 Reaction score 1,384 Oct 17, 2015 #194 Simba Na Mbeya City imeishaje?
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Oct 17, 2015 #195 chamakh said: Simba Na Mbeya City imeishaje? Click to expand... MC 0-1 Simba
C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,097 Reaction score 1,384 Oct 17, 2015 #196 SaaMbovu said: MC 0-1 Simba Click to expand... Kama imeisha hivyo basi ni vyema
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,028 Reaction score 5,355 Oct 17, 2015 #197 chamakh said: Kama imeisha hivyo basi ni vyema Click to expand... Imeisha mkuu.
sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Oct 17, 2015 #198 Mbeya City mna bahati saana.
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Oct 17, 2015 #199 kaseja kawauza MC
C chamakh JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 1,097 Reaction score 1,384 Oct 17, 2015 #200 SaaMbovu said: Imeisha mkuu. Click to expand... Basi vyema sana Mkuu, Pamoja