Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Nimeiona taarifa hii katika blog ya Salehe Jembe, endapo ni ya kweli, viongozi wa Simba watakuwa kwenye wakati mgumu endapo timu itapokonywa pointi 3, kupoteza magoli 5 na kufungwa magoli 2.
Nashauri TFF wapotezee tu hata kama Ajibu alikuwa na kadi 3 za njano.
CC. Jamal Malinzi: Kindly condone the same.
Kama ni kweli sheria na kanuni zichukue mkondo wake.
Naona bao 5 zimewakumbusha kipigo cha 2012, hasa dogo aliyechukua mpira wake amewachanganya zaidi.
CC: Jamal Malinzi
Mtabakia na wimbo wa goli tano huku jahazi linazama. Jana mmeibuka upya lakini tunajua mikia ni gari la mkaa. Week hii lipo kazini (ushindi), week ijayo litakuwa garaje (kichapo). Mwendo huo hadi ligi inaisha. Hizo tano ingepiga timu ya wananchi hamkawii kusema zimenunuliwa. Za jana kanunua nani kati ya Kaburu na Mhaini?
Naona jana ndio wameanza ligi rasmi...!
Wataanza ligi mara ngapi mkuu? Gari la mkaa hilo hata plate number halina!
haahahahaaa naona unawashwa sana zile tano za prisons unatamani uzipate tena
Na Yanga mlipopigwa 5 mlinunuliwa? Kweli ni timu ya walalahoi mpaka mnakubali kununuliwa na Simba kila mechi. Hahaaaaaaaaaaaaaa.....yeboyebo umeeleweka.Mtabakia na wimbo wa goli tano huku jahazi linazama. Jana mmeibuka upya lakini tunajua mikia ni gari la mkaa. Week hii lipo kazini (ushindi), week ijayo litakuwa garaje (kichapo). Mwendo huo hadi ligi inaisha. Hizo tano ingepiga timu ya wananchi hamkawii kusema zimenunuliwa. Za jana kanunua nani kati ya Kaburu na Mhaini?
Unafikiri kushinda kwenu kwa kununua ndiyo utaifunga Simba? Simba hawanunui mechi ndiyo maana ukitaka mpira wenye ushindani angalia mechi za Simba.Jahazi linazama hilo endeleeni kuota haikatazwi kisheria.
Jana ndiyo Dozi ya 5 imeanza rasmi.Naona jana ndio wameanza ligi rasmi...!
Safari hii tusimpe tena bao 5 mwali wetu atakuwa sugu, bao 3 tu zinatosha tubakize na nguvu za michepuko.haahahahaaa naona unawashwa sana zile tano za prisons unatamani uzipate tena
Wataanza ligi mara ngapi mkuu? Gari la mkaa hilo hata plate number halina!
Hamu yake iko juu mno, hataki na wenzake nao wafaudu mshedede...Huyu binti naona naye anataka bao tano tena, naona keshapata wivu kisa mwenzake kapigwa tano!
Simba sio manji anayenunua mechi ili kulinda kiti ambacho anahofia akiitisha uchaguzi atang'olewa. Na huo ndio utakuwa mwisho wa kuwabebesha punda wake sembe kwenda uturuki.
OKW BOBAN SUNZU mwambie huyu Bantu lady ye anaona kumpiga bao tano namdhalilisha? sasa anataka zipi mbili tu? sasa leo tumempiga prisons 5 tayari ameshajiwa na ile kumbukumbu ana mind . atulie tu dawa iingie. jumamosi wala si mbali.
Wakitoa Suluhu tu, hawaonekanagi humu majukwaani.
Msimu wa 2012/2013 tena ubingwa wa kumfunga Yanga 5 kwa nunge, ulikuwa mtamu haijapata kutokea. Baada ya hapo tukahamia kwenye kombe lenye fedha nyingi kuliko za Ligi kuu tukaanza kumchapa Yanga 3-1 mwaka 2013, na mwaka 2014 tukamchapa tena 2 kwa nunge tukachukua Milioni 100 kasoro kumi.Nikumbusheni, Hivi mara ya mwisho mnachukua ubingwa ilikuwa ni lini...?