VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

Hiyo ni baada ya kununua mechi ili kikao chenu kiende safi.!!!

Simba sio manji anayenunua mechi ili kulinda kiti ambacho anahofia akiitisha uchaguzi atang'olewa. Na huo ndio utakuwa mwisho wa kuwabebesha punda wake sembe kwenda uturuki.
 
Kula Yanga kulala Simba, kijana wetu anawabeba sana, lazima ndoto zake zitatimia tu siku moja! Kaeni chonjo!!

Mkuu usiwashtue watachomoa. Unajua kinachoiua Yanga mbele ya Simba maskini mambumbumbu yanga hawajakijua. Ni mpaka watakapoelewa ni wachezaji wangapi waliotoka Simba wapo kwenye first eleven yao.
 
mimi sikatai goli tano nakataa aina ya uchezaji wa prison za kuweza kufungwa goli tano
 
Bantu lady hasira za nini dada? mambo madogo mambo makubwa wakasirika na kuzila mamaah? usinifanyie hvyo utautesa moyo wangu dada simba na yanga ni timu za watani wa jadi. hawanyiman mboga,ndizi,vitafunwa n.k ya nini malumbano dada? ya nini maneno?
 
Last edited by a moderator:
grafani11 umemwona Bantu lady amenisemelea kwa mods wakati mi sijafanya kosa lolote kwake? huyu dada leo tu kaniamkia vibaya nishamzoea amekuwa kama saa mbovu sometime yes sometime no. mi siwezi kuachana naye bwana hata iweje simba ni mtemi wa yanga . sasa yeye mtu kupigwa mkono leo amekasirika. anataka yeye yanga tu ndo apigwe mkono.
 
Last edited by a moderator:

Huyu binti naona naye anataka bao tano tena, naona keshapata wivu kisa mwenzake kapigwa tano!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha bantu amekosa raha sana leo kuona kuna mwingne anapigwa 5 badala yake. amejisikia vibaya.

Wadudu wanamnyevua nyevua anatamani angekuwa yeye akikumbuka...ni tanoooooo nasema tanoooooo Sued mwinyi bhana.
 

Bao tano zinakukumbusheni nini? Jibuni swali. Tena pale pale uwanja wa taifa na the tormentor in chief katupia.
 
Last edited by a moderator:

Hajui mila yetu inaruhusu kuoa wanawake 14 sema kuna wakati wanawake wengine wanachomoa tu.
 
Last edited by a moderator:
Al Merrikh 3 vs 0 Azam [FULL TIME]
 
Last edited by a moderator:
Unadhani Mods hawajui kuwa sitaki ya demu ndiyo nataka yake? Ni bora ungemwambia Komeo Lachuma unataka mambo yake angeacha.
Mama soka lina wenyewe wewe rudi ukampikie mzee daku asubuhi uwahi netball Anna Kibira anaiuaa
kule.
 
Last edited by a moderator:
usilie bidada
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…