Danny Agrey mimi huwa sijibu maswali ya kipuuzi.Kwa akili yako huyo kipa amecheza katika hali ya kawaida? Ok! Lengo si Yanga kuwa bingwa,basi mtakua mabingwa kwa namna yeyote.

Naona Danny greeny unaendelea kunitusi kisa yanga anafunga magoli.Huwezi kuwalazimisha watu wote waipende Yanga.Jifunze kujibu wanaokuatofauti na mawazo yako.