hamisa mobetto fans
Member
- Nov 10, 2016
- 11
- 5
Plz guys tuendelee kumpigia kura mpendwa wetu @hamisamobetto kumpigia kura ni rahisi post picha yake ig au twitter thn weka hashtag [HASHTAG]#ivotehamisamobetto[/HASHTAG]
[HASHTAG]#asfa2016[/HASHTAG]
[HASHTAG]#asfa2016nominee[/HASHTAG] hadi hapo utakuwa umempigia kura au ingia katika bio yangu bonyeza link Vote | Abryanz Style and Fashion Awardsitakupeleka moja kwa moja kwa nominee chagua fashionisha of the year female (east africa) utaona jina la hamisa mobetto bonyeza kwenye vote na usisahau kujisajili kwa facebook au twitter
[HASHTAG]#letsvoteguys[/HASHTAG]
[HASHTAG]#umojaninguvu[/HASHTAG]
[HASHTAG]#uzalendokwanza[/HASHTAG]
Inawezekana hukumpigia Clinton coz hukuwa eligible. But kwa Hamisa, uko eligible... Mpigie bana usije ukamuua njaa mtoto wa watu...Sikumpigia Hillary Clinton kura sembuse nije nimpigie huyo mabeto kura?
inaaweza pia kuwa njia yake ya kuelekea kuwa model wa kimataifa na kututangaza.Inawezekana hukumpigia Clinton coz hukuwa eligible. But kwa Hamisa, uko eligible... Mpigie bana usije ukamuua njaa mtoto wa watu...
Kwan wewe Ni mmarikani?Sikumpigia Hillary Clinton kura sembuse nije nimpigie huyo mabeto kura?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwan we mmarekan au nawe wataka kuonekana uneongea tuSikumpigia Hillary Clinton kura sembuse nije nimpigie huyo mabeto kura?
Upo sawa kabisa[emoji112] [emoji112] [emoji112]inaaweza pia kuwa njia yake ya kuelekea kuwa model wa kimataifa na kututangaza.
Asante diaNimempigia kwa moyo mmoja
Mpendwa hujalazimishwanitalipwa shingapi kumpigia kura huyo salome.,?
What is this you mean? This the English is so nyoooko, isn't it?Can't vote for her! coz the other time she voted for some one causing our buy now budden!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]What is this you mean? This the English is so nyoooko, isn't it?
Ww unaechangia hapa unalipwa au umekosa kazi ya kufanya?ukinijibu hilo nami ntakujibumnaoleta hz mada mnalipwa au mmekosa kazi za kufanya