ahaaa mkuu kibovu upo.aaaaa nouma sanaaaMkuuuu mbona sijakuelewa umeitwa na VSO interview au rahisisha lugha tukushauli
Asante sana Mkuu! Mungu akubariki.Tofautisha Aptitude Test na Assessment. Hiyo uliyoitwa ni Assessment yaani unaenda ili kuverify vyeti vyako vya chuo tu na ili wajiridhishe kuwa wewe ndiye uliyeomba hiyo nafasitajwa.
Kwakifupi hapo karibia asilimia 90 ushachaguliwa tayari.Mshukuru Mungu
Assessment! Sikuelewa maana yake ni nini. Nadhan Mkuu amelitolea ufafanuzi.Mkuuuu mbona sijakuelewa umeitwa na VSO interview au rahisisha lugha tukushauli
Kwanza hongera kijana interview za VSO wanaangalia sana katika problem solving skills na sio vyetii na interview huwa siku nzima ikiwa na hatua zaidi ya nne, kuna maswali watakuuliza kuona ni jinsi gani unaweza kuish katika mazingira magumu all in all kuwa na cnfidence na kila hatua onyesha team work; VSO wako vizuri nautajenga expirience yakutosha[/QUOTE][KQUOTE="baest, post: 22744979, member: 304294"]Ndugu wakubwa na kwa wadogo, wasalam!
Nipende kutoa shukrani kwa mwitikio wenu wa ushauri juu ya nini nifanye nilipokuja kuomba. Wengi mlinishauri na kunitia moyo kama fresh graduate.
Kama mjuavyo, kushukuru ni kuomba tena,
Nimekuja kuomba msaada juu ya aina assessment wanayofanya VSO Tanzania. Wamenikaribisha kwenye assement day yao.
Je, ni aptitude tests? Au aina gani. I just need to get few enlightenments.
Asanteni sana! Mbarikiwe wote. Jf sitaisahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bdo wanapokea watu?Ndugu wakubwa na kwa wadogo, wasalam!
Nipende kutoa shukrani kwa mwitikio wenu wa ushauri juu ya nini nifanye nilipokuja kuomba. Wengi mlinishauri na kunitia moyo kama fresh graduate.
Kama mjuavyo, kushukuru ni kuomba tena,
Nimekuja kuomba msaada juu ya aina assessment wanayofanya VSO Tanzania. Wamenikaribisha kwenye assement day yao.
Je, ni aptitude tests? Au aina gani. I just need to get few enlightenments.
Asanteni sana! Mbarikiwe wote. Jf sitaisahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua mkuu mm nilituma maombi nikajibiwa kwa emailmkuu bdo wanapokea watu?
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
NAOMB EMAIL YAO
Mkiwa mnaomba kazi mikono nyumba, mkishaajiriwa mnasahau na kuota mapembe......[emoji12] [emoji12] [emoji12] natania tu lakiniHapana mkuu...samahani kwa kuchanganya..sipo hivyo
I completed bachelor degree
Asante sana...nakuja mkuu...Mimi hua natumia Graduate.... Sasa hapo Completed Napata shida kidogo au ndo kusema I finished anyway nakutania tu mkuu,katika kupambana na maisha kuua au kuawawa ni sehemu yakufikia malengo yako.... Njoo inbox kama upo dsm,ntakuambia uende wapi,ukamwone nani... Wana nafasi ya Sales pale
Mkiwa mnaomba kazi mikono nyumba, mkishaajiriwa mnasahau na kuota mapembe......[emoji12] [emoji12] [emoji12] natania tu lakini
Mungu akutangulie.