jacob wila Member Joined May 20, 2012 Posts 45 Reaction score 6 Mar 26, 2014 #1 Niko mbeya natafuta mtu wa kujitolea kwenye NGO ambayo tayari ishasajiliwa tusaidiane kuandika project tayari tushanza kufanya kazi aliye tayari contact 0788424347. Website www.mbetf.org Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Niko mbeya natafuta mtu wa kujitolea kwenye NGO ambayo tayari ishasajiliwa tusaidiane kuandika project tayari tushanza kufanya kazi aliye tayari contact 0788424347. Website www.mbetf.org Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
mwahaja JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 391 Reaction score 105 Mar 26, 2014 #2 Inahusu nn hiyo project?
L lats Member Joined Nov 29, 2013 Posts 41 Reaction score 6 Mar 28, 2014 #3 Iyo NGO inahusika na nin?