jamaa anaulizia kuhusu volunteer, dats means ni fresh from university,sasa wewe unataka akuambie kuhusu uzoefu wake mbona hauleweki na pia angekuwa anafanya kazi yoyote inayoendana na profesional yake cdhan kama angekuwa anatafuta hyo volunteer opportunity...