Volunteer and Internship Opportunities

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
Wakuu form inapatikana www.restlessdevelopment.org/tanzania/volunteer. Graduate changamkieni tenda, kama form huilewi nenda ofisini kwao watakuelekeza, nyuma ya shoppers mikocheni.
​
If you are interested in applying for any of the roles in the Lindi project, please find the application form through our website Tanzania - Volunteer | Restless Development and send to nicas@restlessdevelopment.org by the closing date Wed 28th May 2014, 1700Hours. Remember to specify the position you are applying for as INTERN, VOLUNTEER IT, VOLUNTEER EMPLOYMENT OR VOLUNTEER ENTERPRISE
For the Youth & Social Enterprise role in Mbeya please send the application to didas@restlessdevelopment.org by 30th May 2014.

 
hawa jamaa niliomba mara nyingi enzi hizo lakini Hawakuwahi hata kunijibu email
 
duh jamani mbona page not found siku ya pili leo? mwenye form naomba anitumie tafadhali
 
Kwa vijana wa chuo, wapenda maendeleo Umri kati ya miaka 18-40, Kambi maalum ya kimataifa kwa vijana inatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 3-17, Agosti, 2014 na nyingine 31,Agosti- 13,September,2014. (Kwa muda wa wiki Mbili Kila moja.)
Jifunze, Shiriki, Jumuika, na Badili Fikra.
PROGRAMS;
ENVIRONMENTAL ISSUES
BUSINESS PLAN WRITING
RESEARCH AND REPORT WRITING SKILLS
HUMAN RIGHTS ADVOCACY
GOOD GOVERNANCE & LEADERSHIP SKILLS.
ENTREPRENEURSHIP SKILLS
HEALTH CARE AND LIFE SKILLS
VOLUNTEERISM PROGRAM
INTERVIEW SKILLS
+ TOUR DURING THE WORK CAMP TO (E.g MIKUMI NATIONAL PARK, ULUGURU MOUNTAINS, WATER FALLS AND OTHER TOURISTS AREAS to Promote National Tourism Sector).
Unaweza kutuma maombi yako sasa, Kwa Maulizo na Taarifa zaidi
Wasiliana nasi moja kwa moja.
Barua pepe: wwtyouthexchange@gmail.com
Simu/ Whatsapp: 0716 979 939/ +255 712 439 124/ 0756 438 070
Landline: 023 262 3036
Twitter: @IycepTanzania





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…