VODAFONE VF685 UNLOCK CODES

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
mkuu msaada kuunlock hizi simu mbili

1. imei; 3570530670428**
SVN; 110HYG1

2. imei; 3570530670480**
SVN; 110HYG1
 
Usije ukafanya hayo makosa tena ya kuanika imei za simu zako ndugu.. Hapo mpaka upate mtu mwenye nck box/sigma box.. Mimi binafs sina ila kama utapenda nipe namba yako kuna group la mafundi simu world wide niombe wakuunge wanaweza wakakupa unlock codes
 
mkuu msaada kuunlock hizi simu mbili

1. imei; 357053067042810
SVN; 110HYG1

2. imei; 357053067048015
SVN; 110HYG1
hizi siyo zama za kuanika imei zako kwenye mtandao imekula kwako mnapenda vya bure
 
Kaka hebuniunganishe kwa hiyo group ya mafund. Plz 0783848802
 
Please niunge na mimi, naishi kjjn kufika mjini gharama sana, ninzo 6 zinaomba password ila 1 niliokota 0753316092
 
Please niunge na mimi, naishi kjjn kufika mjini gharama sana, ninzo 6 zinaomba password ila 1 niliokota 0753316092
Password au network lock.. ? Ok natuma request soon utakua kwenye group hilo
 
unataka group l
Password au network lock.. ? Ok natuma request soon utakua kwenye group hilo
Unataka group la mafundi wapi unajua hapa jamii forum tuna peana maujanja lkn kwa tatizo lako huwezi kupata msaada bure
 
ntashukuru sana maana hapa kikjn mie ndo huwa wakat mwingine najaribu kurepea vcm vya majirani mfn. mic, ringer speaker, wet nk.
 
Niunge hapa ,0765428633
 
Naomba niunge sim yang ina Mda inagoma mpk UI reboot 0654249906
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
hiyo apo mkuu 0765961152
 
Mkuu hebunamimi niunganishe kwenye hiyo group ya whatsapp

namba 0717663008
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…