Vodacom yasitisha huduma ya Luku, Halotel kujiunga leo

Serikali ikianza kufanya biashara tegemea majanga.
Siku si nyingi huo mfumi wa serikali utakuwa juu ya mawe.
Kumuweka Maxmalipo ilikuwa n rahisi kwa sekta binafsi kuleta ufanisi kwenye huduma kama hizo.
Huko nyuma tuliona mfumo wa TRA ukiwa hacked na wajanja wenye wenyeji wao ndani ya system.
Nanpesa ilipigwa kwa mabilioni.

Bila mtu kati, mfanya biashara, atakaye simamiwa kihaswa, kuhack system za Serikali itakuwa mchezo wa kila siku.
 
Voda Taarifa

SMS waliyonirushia saa 4:57 inasomeka hivi "Ndugu mteja, mauzo ya LUKU sasa yanafanyika moja kwa moja kwenye mfumo wa malipo wa serikali GEPG, Ada ya 1.1% itatozwa. Mf: kwa LUKU ya Tsh 1000, ada ni sh 11.
 

KAMISHENI INAPUNGUA KWA MAWAKALA, leseni watalipa na nini? au ukilipa leseni pesa haifiki hazina? Ku-centralize si vibaya sasa kwasababu inakua chini ya serikali basi mawakala ambao wengi ni Wananchi Wa Hali Ya Chini wangeangaliwa kwa jicho la tatu, unapowakaba then unakaba income hadi ya mama ntilie, kodi na tozo za halmashauri husika pia.
 
Huko nyuma tuliona mfumo wa TRA ukiwa hacked na wajanja wenye wenyeji wao ndani ya system.
Nanpesa ilipigwa kwa mabilioni.

Bila mtu kati, mfanya biashara, atakaye simamiwa kihaswa, kuhack system za Serikali itakuwa mchezo wa kila siku.

Sitashangaa system ikiwa down mwezi mzima.

Serikali inang'ang'ania kubeba majuku isiyoyaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…