Vodacom WAP.Ni sababu ya kuhama mtandao!


hilo tatizo lipo sana tu,eti ukishajiunga huruhusiwi tena,sijui hawafahamu kuwa kuna kununua simu nyingine ukataka uunge.mimi mara nyingi simu inaingiliwa virus kwahiyo huwa naenda kuiflush na automaticaly ukiflush configuration inajifuta mpaka uunge upya.sasa ukijaribu kuunga inasema,'YOU ALREADY HAVE THIS SERVICE'.
Kwahiyo hapo inabidi utafute line ingine hata kwa kuazima kwa mtu ambae bado hajaiunga line intanet ili uitumie kwa kuiunga simu yako.usumbufu sana.
 

kujiunga zain unatuma neno,INTANET Kwenda namba 132.watakupa msg ya kukubaliwa ambayo inakua activated ndani ya saa 24.
 
Pia ukiback up mafaili yako na settings kwenye memory card utakapoflash simu unarestore. Baada ya kirestore utakuta kila kitu kimerudi mahali pake hata internet settings utazikuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…