Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,723
Elfu moja na mia tano
Elfu moja na mia tano
Shida speed ya mtandaoKaribu halotel mwezi
Note
Hizo bando zote si za laini ya chuoView attachment 1398550
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya mtandao? Duh!! Aisee hauwezi amini napata hadi 12 mb per second kwenye ku downloadShida speed ya mtandao, inasoma 3g af vitu havifunguki kwa sasa acha niinjoi na tigo na bando zao
Af full midakika ya mitandao yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una macho utaona tu nimetumia GB ngapi kwa siku kadhaa afu piga mahesabu yako utapata spidi πππShida speed ya mtandao, inasoma 3g af vitu havifunguki kwa sasa acha niinjoi na tigo na bando zao
Af full midakika ya mitandao yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida mtandao(halotel), sasa hivi wanazingua baadhi ya sehemuShida ya mtandao? Duh!! Aisee hauwezi amini napata hadi 12 mb per second kwenye ku download
Unayemuhotspot anakufilisiKama una macho utaona tu nimetumia GB ngapi kwa siku kadhaa afu piga mahesabu yako utapata spidi
Tigo mpya, dakk 250 mitandao yote GB 3.5 sms 100 kwa wiki gharama ni 1500/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Washaanza vitoa me walikuwa wananipa hv vifurush saiv wamevipandishsHamia Tigo mkuu, dakika 250 mitandao yote, 3.5GB na 100sms kwa weekView attachment 1399244
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa kwa sehemu inaweza kuwa sawa bali mimi hapa nilipo bata tuNdio shida mtandao(halotel), sasa hivi wanazingua baadhi ya sehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni mimi ndo naji host mwenyewe kwenye laptop na spidi yake ni kubwa mno 12mbs per sec kwenye ku download na ndo mana nikaweza kutumia gb zote hizo na.hauwezi amini ni kwa 3000 pekee yaani nimejiunga 1500 mara mbili bando pa usiku angalia chat ilivyokaa
Ndio maana uko na gb za kutosha ulizotumia, sababu ya mikeshaMkuu ni mimi ndo naji host mwenyewe kwenye laptop na spidi yake ni kubwa mno 12mbs per sec kwenye ku download na ndo mana nikaweza kutumia gb zote hizo na.hauwezi amini ni kwa 3000 pekee yaani nimejiunga 1500 mara mbili bando pa usiku angalia chat ilivyokaa
Mtamdao wa kiboya sijapata onaKaribu halotel mwezi
Note
Hizo bando zote si za laini ya chuoView attachment 1398550
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππ aiseee ulijua naunga la kawaida ??Ndio maana uko na gb za kutosha ulizotumia, sababu ya mikesha
Nikataka nikuulize unatumia bando gani, nishaelewa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππ aisee umejuaje sijasoma economy!! Ila ukicheki usage na hela haviendani kabisa yaani ndo mana najiona mi mchumi mkubwa mno.Apo mkuu ulitakiwa usome economy ili ujue kibalance matumiz mana so kwa matumiz hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia Tigo mkuu, dakika 250 mitandao yote, 3.5GB na 100sms kwa weekView attachment 1399244
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwingine wapi huwa unahamia?Hawa nao ni wasenge sana wakiona unajiunga na hii offer mara mbili tatu wanakubadilishia kifurushi, wanakukamua kweli kweli,, mwanzon huwa wanaanza kukuvutia,,, mm nikionaga wamebadili natoa lain inakaa pembeni miez kwanza nahamia kwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app