Sio 1.2GB3000 dk 250 voda 20 mitandao yote gb2. 2000 dk 150 voda 15 mitandao yote gb 2 kwa week
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhh Hawa tigo nao kwa kubadilisha vifurushi hawajamboTigo mpya, dakk 250 mitandao yote GB 3.5 sms 100 kwa wiki gharama ni 1500/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye mb hujakosea kweli? Maana kwa hiyo hela najua ni GB 1 tu(experience yangu)Tigo mpya, dakk 250 mitandao yote GB 3.5 sms 100 kwa wiki gharama ni 1500/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajakosea..kama laini yako ni ya chuo piga *147*00# au *148*00# kisha chagua saizi yako kisha tafuta hadi mwisho utakipataHapo kwenye mb hujakosea kweli? Maana kwa hiyo hela najua ni GB 1 tu(experience yangu)
Tigo mpya, dakk 250 mitandao yote GB 3.5 sms 100 kwa wiki gharama ni 1500/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio imenifanya nisajili line ya tigo.Tigo mpya, dakk 250 mitandao yote GB 3.5 sms 100 kwa wiki gharama ni 1500/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio imenifanya nisajili line ya tigo.
Kuhama ni bure mkuuHawakawii kubadilisha vfurushi utakuja kujuta
Bora hela ya usajili ungekunywa juice ta miwa
Sent using Jamii Forums mobile app