Vodacom Tanzania ni wezi

Wewe umeona kwenye bando tu, kwenye miamala ndo usiseme laki mbili unakatwa 5,300 yaani M-Pesa ni tatizo wameongeza sana, mamlaka zifatilie hili jambo wanaumiza wnanchi na makato.

Tumie mabenki mobile money ni gharama kubwa sana watu hamjui tu ukipiga hesabu unatumia hela nyingi sana kwa mwaka kuliko ata kulipia ada ya chuo kikuu kwa mwaka chukua mda kidogo tu alafu uangalie
 
Hapo wanasema 10GB muda wote na 17GB kuanzia saa sita usiku mpaka 1.59 asubuhi.. Huo sio usanii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda mpenzi wangu badilika acha tabia ya kuwaibia wateja,huoni aibu unazomewa kila kona mwizi mkubwa wewe badilika na ukiri hadharani ulinde heshima yako ya kuwa mtandao bora.
Vodacom ni wezi sana, mwezi uliopita nilikua na uhuru package sh,20,000 kwa bahati mbaya nikawasha data upande wa voda japo sikua na bando la voda jamaa wakaanza kutumia salio langu ambalo halikua linahusiana na bando kabisa nikawapigia cm.wajaniambia siku hizi hata usipojiunga bando kama unasalio kwenye mpesa au uhuru package zinatafunwa zote ghafla nikataka kuunga bando nikakuta nina tshs,0.00 ndo nikatambua huu mtandao ni wezi balaa ila tcra walisha wapa worning sijui kwanini wanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua mtumiaji wa vodacom kifurushi cha KASI kwa zaidi ya miaka 2 mfululizo (Tsh 50,000) kwa mwezi, hadi mwanzoni mwa mwaka huu nilivyoona wameanza kuniibia bundle, imebidi ninunue router ya TIGO and now I am enjoying enough data at affordable cost ingawa sometime huwa inakatakata but it is worth kuliko Vodacom ya sasa.
 
Voda zamani.

Siku hizi sijui kimewakuta nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…